ILALA YAZINDUA MRADI WA MAJI WA MAMILIONI PUGU
"Nikizindua kisima tu nawashukuru wananchi kwa sapoti yao tunamshukuru mbunge wa ukonga Mh Waitara aliechangia Milioni tatu katika fedha za mfuko wa jimbo,niliwasisitiza wananchi watunze mradi huo wa...
View ArticleKITABU CHA UWIANO WA TAKWIMU ZA WANAWAKE NA WANAUME CHAZINDULIWA JIJIJINI DAR...
Na Dotto MwaibaleWANAUME wameonekana kuwa wengi katika nafasi mbalimbali ukilinganisha na wanawake.Hayo yamebainishwa na Mhadhiri wa Chuo cha Takwimu Afrika Mashariki, Chisker Masaki wakati akizungumza...
View ArticleAirtel yazindua HATUPIMI bando, Ongea bila kikomo
Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania leo imezindua OFA kabambe ijulikanayo kama HATUPIMI Bando itakayowawezesha wateja wake wote nchini kuongea bila kikomo mara tu baada ya kujiunga. “Airtel...
View ArticleTAARIFA KWA UMMA KUTOKA VODACOM TANZANIA
Kampuni ya Vodacom Tanzania PLC imetoa ufafanuzi kuhusiana na suala la kesi iliyofunguliwa na Moto Matiko Mabanga dhidi ya Vodacom Group Limited , Vodacom Tanzania PLC ("VCT"); Vodacom International...
View ArticleWanafunzi wa Shule ya Sheria ya Chuo Kikuu cha Northwestern Pritzker Chicago...
Wanafunzi wa Shule ya Sheria ya Chuo Kikuu cha Northwestern Pritzker Chicago, Illinois nchini Marekani wakiwa wamemtembelea Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania Prof. Ibrahim Juma, Mahakama ya Rufani jijini Dar...
View ArticlePikniki Adui wa Mazingira Ukanda wa Utalii - amber resort, zanzibar
Pikiniki zinazofanywa na watu mbalimbali katika fukwe zilizoko kwenye ukanda wa utalii visiwani Zanzibar, zinachangia uharibifu mkubwa wa mazingira unaotishia kuwakimbiza watalii.Shughuli ya kusafisha...
View ArticleWAFANYABIASHARA MACHINGA COMPLEX JIJINI DAR ES SALAAM WATAKIWA KUZINGATIA SHERIA
NaFrank Shija – MAELEZO, Dar es Salaam.WAFANYABIASHARA ndogondogo katika Soko la Machinga Complex Jijini Dar es Salaam wameshauriwa kubadilika na kuendesha shughuli zao kwa kuzingatia sheria badala ya...
View ArticleUBALOZI WA MAREKANI WATOA MAFUNZO YA UANDISHI WA HABARI KWA WANAMITANDAO
Washiriki wa mafunzo hayo wakifuatilia mada zilizotolewa.Maofisa wa Ubalozi wa Marekani pamoja na Mkufunzi huyo wakiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa mafunzo hayo .Mkufunzi wa Mafunzo hayo...
View ArticleLegendury Beatz Team Up With Veemoney to Serve Some SwagHili
Figisu ndiyo kitu mi sinaga are the opening lines to this immediately captivating track. This Swahili line describes VeeMoney to the tee. It translates as; Trouble/Drama is what I don't have. The...
View ArticleWATANZANIA WAASWA KUBADILIKA LA SIVYO WAKENYA NA WAGANDA WATAENDELEA...
Serikali kupitia Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Christopher Ole Sendeka amesema raia wa Kenya na Uganda wataendelea kuajiriwa katika hoteli zetu kama Watanzania hawataweza kubadilika kwa kuachana na tabia...
View ArticleBENKI YA KCB TANZANIA YAZINDUA WARSHA YA BIASHARA CLUB KWA WATEJA WAKE AMBAO...
Benki ya KCB Tanzania imeendelea kuwekeza kwa wajasiriamali wadogo na wakati kupitia kitengo chake cha “Biashara Club”, kitengo kinachohudumia wajasiriamali wadogo na wakati yaani (SME) kwa kuwapa...
View ArticleMAJALIWA ATEMBELEA KIWANDA CHA SAMAKI CHA MAURITIUS
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama usindikaji wa samaki katika kiwanda cha MER Des Mascareignes nchini Mauritius Machi 21, 2017. Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa akitazama makasha yenye minofu ya samaki...
View ArticleWAZIRI NAPE APOKEA RIPOTI YA KAMATI YA UCHUNGUZI WA TUKIO LILILOTOKEA CLOUDS...
Na Shamimu Nyaki-WHUSM.Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye amepokea taarifa ya kina kuhusu chanzo, sababu na namna tukio la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Bw. Paul Makonda...
View ArticleYANGA YAWAONDOA HOFU MASHABIKI, WASEMA MC ALGER NI KAMA TIMU NYINGINE
Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.UONGOZI wa Yanga umesema kuwa wanashukuru wamepata ratiba kwa wakati ya hatua ya mtoano wa kombe la Shirikisho na mechi ya kwanza wanaanzia hapa nyumbani dhidi ya...
View ArticleMAKACHERO SARPCCO WAJADILI UHALIFU UNAOVUKA MIPAKA.
Na. Frank Geofray-Jeshi la Polisi.Wakuu wa Upelelezi wa makosa ya jinai kusini mwa Afrika wametakiwa kuongeza ushirikiano katika kubadilishana taarifa za wahalifu na uhalifu unaovuka mipaka ili...
View ArticleKAMATI YA KUDUMU YA BUNGE IMEITAKA SERIKALI KUHAKIKISHA INATOA FEDHA ZA MRADI...
KAMATI ya Kudumu ya Bunge imeitaka serikali kuhakikisha inatoa fedha za mradi wa ujenzi wa jengo la abiria namba tatu (terminal III) kwa wakati ili mradi huo uweze kukamilika kama ilivyopangwa....
View ArticleKAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA MAMBO YA NJE YA ULINZI NA USALAMA YAKAGUA MRADI...
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje ya Ulinzi na Usalama, Balozi Adadi Rajabu (wakwanza kushoto), akiongozana na wajumbe wengine wa kamati hiyo baada ya kukagua Mradi wa Ujenzi wa...
View Article