Wanafunzi wa Shule ya Sheria ya Chuo Kikuu cha Northwestern Pritzker Chicago, Illinois nchini Marekani wakiwa wamemtembelea Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania Prof. Ibrahim Juma, Mahakama ya Rufani jijini Dar es Salaam. Wanafunzi hao wako nchini kwa ajili ya Utafiti wao kuhusu hali ya sasa ya Makosa ya Mauaji ya Wanyamapori na Usimamizi wa Rasilimali ya Wanyamapori Tanzania
Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania Prof. Ibrahim Juma, Mahakama ya Rufani jijini Dar es Salaam akiongea na Wanafunzi wa Shule ya Sheria ya Chuo Kikuu cha Northwestern Pritzker Chicago, Illinois nchini Marekani. Pamoja naye ni Jaji Kiongozi Mhe. Ferdinand Wambari
Badi ya Wanafunzi wa Shule ya Sheria ya Chuo Kikuu cha Northwestern Pritzker Chicago, Illinois nchini Marekani wakisikiliza Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania Prof. Ibrahim Juma walipomtembelea kwenye ofisi zake katika Mahakama ya Rufani jijini Dar es Salaam.