WATUMISHI REA WAPONGEZWA
Watumishi wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) wapongezwa kwa kujituma na kufanya kazi kwa bidii hali iliyopelekea mafanikio makubwa ya Wakala huo ikiwamo kufikisha umeme katika Vijiji vyote vya...
View ArticleWizara ya Maliasili na Utalii, Wadau Wajadiliana Mikakati ya Kuendeleza Sekta...
Na Saidi Lufune, DodomaWIZARA ya Maliasili na Utalii inaendelea kushirikiana na wadau wa sekta ya misitu na ufugaji nyuki ili kuboresha uhifadhi na uendelezaji wa rasilimali za misitu na nyuki, pamoja...
View ArticleTUTAENDELEA KUKUZA SEKTA YA UTALII TUKILENGA WATALII MILIONI 8 IFIKAPO 2030...
Na Mwandishi wetu- DodomaRAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Serikali itaendelea kukuza Sekta ya Utalii ikilenga kufikia watalii wa ndani na wa nje milioni...
View ArticleMAKAMU WA RAIS AWASILI NCHINI KONGO KUMWAKILISHA RAIS DKT. SAMIA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa N’djili, Kinshasa, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo leo tarehe 14...
View ArticleSiku ya Kutusua na Meridianbet Hii Hapa
MICHUANO hii hapa ya kufuzu Kombe la Dunia inakupa nafasi kubwa ya kujinyakulia mshiko wa maana na Meridianbet leo. Suka jamvi lako la ushindi sasa na uibuke bingwa leo.Katika Kundi B, Switzerland...
View ArticleCheza Trick or Treat Bonanza Ndani Ya Meridianbet Ujishindie Kitita
NDANI ya Halloween mambo si madogo hata kidogo kwani Meridianbet imewakumbuka wapenzi wa kasino na michezo ya mtandaoni kwa kuwaletea burudani isiyo na kifani kupitia mchezo bora kabisa wa Trick or...
View ArticleTASAC YAENDELEZA ELIMU KWA WAVUVI
Na Mwandishi Wetu, GeitaShirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) limeanzisha kampeni ya kutoa elimu ya usafiri salama wa majini katika Wilaya ya Chato mkoani Geita eneo ambalo limeendelea kuwa mfano...
View ArticleHospitali ya Shifaa yazindua kitengo maalum cha kutibu maradhi ya kisukari
Na Mwandishi WetuHOSPITALI ya Shifaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam imezindua kitengo maalum kwa ajili ya matibabu ya wenye maradhi ya kisukari.Uzinduzi wa huduma hizo umefanyika leo jijini Dar es...
View ArticleRAIS DKT. SAMIA: WATANZANIA TUENDELEE KULIOMBEA TAIFA LIDUMU KATIKA AMANI
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ameendelea kuwasisitiza Watanzania waendelee kuliombea Taifa ili amani, upendo, ustahimilivu na mshikamano viendelee kudumu...
View ArticleSTEVE NYERERE: DARAJA LA JAMII NA MWANAHARAKATI WA MAENDELEO
Steven Waiton Mengele almaarufu kama SteveNyerere2 ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Mama Ongea na Mwanao na Mdau wa maendeleo katika shughuli za kijamii kupitia sanaa za maigizo na uchekeshaji kwa miaka...
View ArticleUshindi Mnono Unakungoja na Meridianbet Leo
MECHI za kufuzu Kombe la Dunia 2026 bado zinaendelea na wewe leo hii una nafasi ya kushinda pesa kibao kabisa. Meridianbet inakwambia hivi tandika jamvi lako la ushindi sasa na uibuke Milionea...
View ArticleKamal Foundation Yaongeza Nguvu ya Ujumuishwaji kwa Kugawa Miguu Bandia kwa...
KAMPUNI ya Kamal kupitia Kamal Foundation imeonesha mfano wa namna ushirikiano kati ya sekta binafsi, Serikali na jumuiya za kimataifa unavyoweza kuleta matokeo chanya kwa watu wenye ulemavu, baada ya...
View ArticleMRADI WA SERIKALI , BARRICK NORTH MARA WA UWEZESHAJI WACHIMBAJI WADOGO TARIME...
Wachimbaji wadogo wakiwa na leseni za uchimbaji madini walizopewa wakati wa uzinduzi wa programu hii mwezi Mei,2025. **Tarime: Mradi wa Serikali wa kuwawezesha wachimbaji wadogo wa madini kutoka vijiji...
View ArticleWadau tuendelee kuchangia upatikanaji wa nishati safi ya kupikia
Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais Prof. Peter Msoffe akizungumza wakati akishiriki uzinduzi wa mpango wa nishati safi ya kupikia shuleni ambao unalenga kuziwezesha taasisi hizo za...
View ArticleAirtel Africa: Kuchochea Ukuaji wa Kidijitali na Ujumuishaji wa Kifedha...
AIRTEL Africa inaendelea kuandika historia katika ukuaji wa sekta ya mawasiliano barani Afrika, Matokeo yake ya nusu mwaka yanaonyesha namna Airtel ilivyopiga hatua kubwa. Kwa miezi sita iliyomalizika...
View ArticleMechi za Kufuzu Kombe la Dunia Zimekuja na Pesa
JE unajua kuwa mechi za kufuzu Kombe la Dunia leo hii, zinakupa maokoto ya maana?. Bashiri sasa na Meridianbet ujiweke kwenye nafasi ya kuibuka bingwa kwani Odds za kibabe zipo hapa leo.Katika kundi A,...
View ArticleDMI yaendeleza Uchumi wa Buluu kwa Mradi wa Dola Milioni 65.26 COP30, Brazil
Mkuu wa Chuo cha Bahari (DMI) Prof. Tumaini Gurumo akiwasilisha Mradi wa Uchumi wa Buluu na Kituo cha Mafunzo unaolenga kuimarisha rasilimaliwatu, teknolojia safi na ustawi wa jamii katika sekta ya...
View ArticlePaa na Ushindi Mkubwa Ukiwa na Meridianbet
WAPENZI wa kasino mtandaoni, huu ndio wakati wako wa kung’aa. Mwezi huu, Meridianbet inakuletea ofa kabambe kupitia mchezo unaopendwa na wengi wa Aviator. Sasa paisha kindege cha Aviator na uwe...
View ArticleTANZANIA YAIBUKA MSHINDI WA JUMLA MAONESHO YA WAJASILIAMALI WA AFRIKA MASHARIKI
Na: OWM (KVAU) – NairobiJAMHURI ya Muungano wa Tanzania imeibuka mshindi wa jumla kwenye maonesho ya 25 ya Wajasiliamali Wadogo na wa Kati wa Jumuiya ya Afrika Mashariki baada ya kampuni ya...
View ArticleBONANZA LA IRINGA MOTOR SHOW LAKUSANYA WANA IRINGA, DC SITTA APONGEZA
NA CECILIA PIUS, IRINGAMKUU wa Wilaya ya Iringa, Benjamin Sitta, amepongeza hatua kubwa iliyochukuliwa na waandaaji wa Iringa Motor Show, akisema kuwa bonanza hilo limeanza kuwa kichocheo muhimu cha...
View ArticleDR.HASHIL AHIMIZA UKUSANYAJI WA TAARIFA SAHIHI ZA VIWANDA KWA MAENDELEO YA...
Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara Dr.Hashil Abdalah amesisitiza juu ya ukusanyaji wa taarifa sahihi ya Viwanda katika Mikoa ya Arusha na Manyara .Dr. Harshil ameyasema hayo katika ufunguzi wa...
View ArticleJUBILEE INSURANCE WAZINDUA OFİSİ YAO MPYA FAYKAT TOWER
Na Mwandishi WetuJUBILEE Insurance (Jubilee Life na Jubilee Health) leo Novemba 17,2025 wamezindua rasmi ofisi yao mpya iliyopo ghorofa ya tatu jengo la Faykat Tower. Uzinduzi wa ofisi hiyo mpya ni...
View ArticleTIRDO YATOA MAFUNZO KWA WAJASIRIAMALI WA MKA MBADALA, YALENGA UBORA NA...
DAR ES SALAAM, Novemba 17, 2025 — Shirika la Utafiti na Maendeleo ya Viwanda Tanzania (TIRDO) limetoa mafunzo maalum kwa wajasiriamali wanaojihusisha na utengenezaji wa mkaa mbadala unaotokana na...
View ArticleNACTVET yaagiza vyuo kufuata utaratibu
Na Mwandishi Wetu DodomaBaraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) limesema kuwa liliratibu udahili wa wanafunzi kwa ngazi ya Astashahada na Stashahada kwa mwaka wa masomo...
View Article