Barnaba na Suma Lee waitingisha London
Kassu Ent iliandaa tamasha maalum kutoka kwa wasanii wetu wa kizazi kipya iliowajumuisha Barbaba na Suma Lee. Tamasha hili lilikwenda sambamba kwa kusherekea miaka 51 ya Uhuru wa Tanzania Bara...
View ArticleUsikuwa Krismass‘Vodacom Dar Live’kupambwa na Diamond, Dimpoz
Msanii wa kizazi kipya nchini, Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’ amepania kudhihirisha umwamba wake dhidi ya msanii mwenzake Ommy Dimpoz, katika shoo yao ya pamoja inayotarajiwa kufanyika sikukuu ya...
View ArticleWatu zaidi ya 40 wanusurika kifo ajalini jijini Mbeya leo
ZAIDI YA ABIRIA 40 WALIOKUWEMO KWENYE BASI LA NEW FORCE WAMEPONA KUFA BAADA YA BASI HILO KUGONGANA NA LORI LA MIZIGO AINA YA FUSO MAENEO YA PIPE LINE INYALA ,JIJINI MBEYA MAPEMA LEO ASUBUHI. BASI LA...
View ArticleWatakaoenda na magari kanisani kupatiwa ulinzi wakati wa krismasi na mwaka mpya
POLISI mkoani Mwanza imesema iko tayari kuwadhibiti wahalifu watakaojihusisha na vitendo vya uporaji wa mali za wakazi wa jiji la Mwanza wakati wa sikukuu ya Krismasi na mwaka mpya.Kamanda wa Polisi wa...
View ArticleJK ATOA MILIONI 30 KWA MRADI WA KULEA NA KUHIFADHI MBWA MWITU HIFADHI YA...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi wa TANAPA Jumapili Desemba 22, 2012 akikata utepe katika boma maalumu la kulea na kuhifadhi mbwa mwitu kuashiria rasmi kuachiwa huru kundi la pili la wanyama...
View ArticleSalaam za krismas toka kwa booby na sellah
Booby na mdogo wake Sellah wakiwatakia wadu woooote wa Globu ya Jamii Salaam nyingi za Krismas kwa niaba ya Ankal.
View ArticleBALOZI WA TANZANIA NCHINI OMAN AANDAA HAFLA KUWAAGA WAJUMBE WA MKUTANO WA...
Mheshimiwa Ali Ahmed Saleh, Balozi wa Tanzania nchini Oman aliongoza Ubalozi wa Tanzania nchini Oman katika ya chakula alichoaandaa nyumbani kwake Shatti Al Qurum, mjini Muscat Oman kwa ajili ya...
View Articlewadau hija na Halima washerehekea miaka mitano ya kumeremeta kwao jijini The...
Halima binti Juma Ndugu jamaa na marafiki pamoja na Bi harusi na bwana harusi Hija Saleh Mdau Hija Saleh na mai waifu Halima binti Juma Ni siku ya furaha tele Ndugu na watoto na Halima binti...
View Articlemipasho leo Vegetable Garden Pub ya Ilala, Dar
Gwiji la Muziki wa Taarabu nchini, na Mshindi wa Tuzo ya Mtumbuizaji bora wa Kike, Hadija Kopa akifanya makamuzi katika tamasha maalum la Washindi wa Kili Music Award 2012 kwenye uwanja wa Ushirika...
View ArticleSPORAH- IT'S FINALLY HERE! MERRY CHRISTMAS EVERYBODY!
For more of Sporah just CLICK HERE
View Articleankal katika utalii wa ndani Serengeti anakutakia Krismasi njema mdau!
Ankal akiwa katika utalii wa ndani maeneo ya Ndutu pembezoni mwa mto Masek, hususan katika kiota cha utalii cha Lake Masek Tented Camp iliyoko ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Serengeti katika mpaka wake...
View Article“KAMA IPO- KUPANDA NA KUSHUKA' NA PROFESA JAY
Ni video nyingine kutoka Visual Lab. Kama lilivyo jina la wimbo,kupitia video hii, Professor Jay anaweka bayana hali mbalimbali za kimaisha na matokeo yake.Kuna kupanda na kuna kushuka.Usimdharau...
View Articlengoma azipendazo ankal - enzi hizo
Back by popular demand to celebrate this Holy Day!Baba Gaston - Kakolele Viva Christmas
View ArticleNgoma azipendazo ankal - kizazi kipya
Nani kakwambia Tanzania muziki wa kizazi kipya ni Bongo Fleva pekee?? Cheki watasha wanavyochenguka na Mchiriku live wa Jagwa Music toka Mwananyamala jijini Dar es salaam katika Roskilde Festival...
View ArticleASIA IDAROUS,GYMKHANA HILALL NA MARTIN KADINDA WATEULIWA KUTOA UAMUZI UNIQUE...
Baraza la sanaa la taifa limeteua majina matatu ya wabunifu wa mavazi nchini Tanzania kuwa waamuzi wa shindano la wanamitindo bora wa mwaka wenye sifa za kipekee nchini Tanzania (Unique Model...
View ArticleMWANAJESHI ALIYEPIGA PICHA NA LEMA....SASA KUCHUKULIWA HATUA ZA KINIDHAMU...
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania limeshitushwa na kusikitishwa kuona taarifa ya mtu aliyejitambulisha kuwa askari wa JWTZ wa Kambi ya Monduli, Arusha, iliyochapishwa katika gazeti la Mwananchi...
View ArticleMAHAFALI YA 10 YA TAASISI YA UHASIBU TANZANIA (TIA)
Naibu Waziri wa Fedha, Saada Mkuya, akifungua pazia kuashiria ufunguzi wa Jengo Jipya la Utawala la Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA), Barabara ya Kilwa Dar es Salaam Desemba 22 -2012.Wakufunzi wa...
View ArticleKAJUMULO WORLD SOCCER LLC USA
Guys,I've been developing youth sports around the world, but it's been a while since I've been home to work with youth sport development there. This time I want to invest in youth sports, like I have...
View Article