Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 117138 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMATI YA NAPE YAKABIDHI RIPOTI YAKE LEO

Na Karama Kenyunko, Globu ya Jamii.Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Nape Nnauye, amekabidhiwa taarifa  dhidi ya uvamizi wa kituo cha utangazaji cha Clouds na kuwashukuru kwa jitihada kubwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC MAKONDA AZINDUA VISIMA VITATU VYA MAJI MBAGALA MAJI MATITU

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda leo amezindua visima vitatu vya Maji vilivyopo Mbagala Maji matitu shuleni, amesema kuwa uzinduzi wa miradi hiyo ni sehemu ya maadhimisho ya wiki ya Maji...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZANIA NA CHINA ZATILIANA SAINI MKATABA WA MIAKA MITATU WA MASUALA YA...

Na Dotto MwaibaleSERIKALI ya Tanzania na China zimetiliana saini mkataba wa makubaliano wa utamaduni wa miaka mitatu kuanzia mwaka 2017 hadi 2020. Nchi hizo zimetiliana saini za mkataba huo kupitia kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UONGOZI WA AZAM WALAANI VIKALI VURUGU WALIZOFANYIWA, YAKUBALI MATOKEO YA...

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.Klabu ya soka ya Azam fc, iliyokuwa  imelaani vikali  vitendo vya vurugu zilifanywa na timu ya Mbabane swallows katika mchezo ulifanyika nchini Swazland mchezo ambao...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DIWANI KIJICHI AKANUSHA UZUSHI WA KIFO CHAKE

 Na Humphrey Shao, Globu ya JamiiJana  kulisambaa habari zisizokuwa za kweli kuhusu kifo cha Diwani wa kata ya Kijichi Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam, Tausi Milanzi.Habari hizo ambazo zililikuwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MAHIGA APOKEA NAKALA ZA HATI ZA UTAMBULISHO ZA MABALOZI WATEULE NCHINI

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga (Mb.) leo tarehe 22 Machi, 2017 amepokea Nakala za Hati za Utambulisho kutoka kwa Mabalozi Wateule 7...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif ziarani Jimbo la Chennai...

 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akiwasha mshumaha mara baada ya kuwasili Makao Makuu ya Kampuni ya Ujenzi wa Nyumba za Mkopo katika Jimbo la Chennai Nchini India. Kushoto ya Balozi Seif...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUTANO WA BODI YA USAJILI WA WABUNIFU MAJENGO NA WAKADIRIAJI MAJENZI...

Maofisa wa Jeshi la Polisi kutoka mikoa ya Kanda ya Ziwa ambyo ni Mwanza, Kigoma, Kagera,Geita, Mara, Shinyanga, Simiyu pamoja na Mkurugenzi wa Mashitaka  nchini (DPP) Biswalo Mganga, wamenufaika na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DC WA SAME MHE. ROSEMARY SENYAMULE AKAMATA SHAMBA LA MIRUNGI NA WAKULIMA WAKE

Na MatukiodaimaBlog Same MKUU wa Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro Mhe. Rosemary Sitaki Senyamule ambae ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama wilaya ameendelea na mapambano dhidi ya dawa za...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC SHIGELLA AWAPIGA MSASA MAKATIBU TAWALA MKOANI TANGA

MKUU wa Mkoa wa Tanga, Martin Shigella, amesema Utafiti mpya wa Viashiria na Matokeo ya Ukimwi kwa kutumia mfumo wa (CD4T-cell count) utasaidia kupunguza maambukizi ya Ukimwi.Amesema Utafiti huo...

View Article

SIMU TV: HABARI KUTOKA TELEVISHENI

Kwa habari zaidi BOFYA HAPA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kamati ya Kudumu ya Bunge Utawala na Serikali za Mitaa yatembelea Chuo cha...

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe Angellah  Kairuki amesema kwamba serikali itahakikisha kwamba Chuo cha Utumishi wa Umma (TPSC) tawi la Mbeya kinakuwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KANUSHO

Tunapenda kutaarifu Umma kuwa kuna mtu aliyefungua ukurasa katika mtandao wa kijamii wa ‘Twitter’ kwa kutumia jina la Mhe. Charles Mwijage(MB), Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji na kuweka...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DROO YA MAKUNDI YA KLABU BINGWA AFRIKA KUPANGWA

Na Zainab Nyamka, Globu ya JamiiDroo ya makundi ya klabu Bingwa Afrika inatarajiwa kupangwa  kwa timu 16 kuingia kwenye makundi manne.Timu hizo zimepangwa kwenye vyungu vinne kulingana na alama zao...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AZUNGUMZA NA WATANZANIA WAISHIO NCHINI MAURITIUS

 Baadhi ya watanzania waishio nchini Mauritius na maofisa wa serikali ya Tanzania wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao kwenye hoteli ya Meridien, nje kidogo ya mji Port...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA MJUMBE WA KAMATI KUU NA KATIBU WA CHAMA CHA...

Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt John Pombe Magufuli akimkaribisha Mjumbe wa Kamati Kuu na Katibu Mkuu wa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC), Mhe Guo Jinlong Ikulu jijini Dar es salaam kwa mazungumzo leo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHOPPIES SUPERMARKET YATINGISHA DAR ES SALAAM KWA BIDHAA ZA BEI POA!

Bonge la supermarket jipya lipo katika jengo la kituo kikuu cha daladala  cha Makumbusho jijini Dar es salaam ambako utapata  BIDHAA KIBAO kwa bei  poa kabisaaa kama vile Mikate, keki,  biscuit...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC SHINYANGA APIGA MARUFUKU KUFANYA SHUGHULI ZA KIBINADAMU KANDO YA VYANZO...

Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Zainab Telack ameagiza wakurugenzi wa mamlaka za Serikali za Mitaa na Maji kuhakikisha hakuna mtu anayefanya shughuli za kibinadamu kwenye vyanzo vya maji.Telack alitoa agizo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA AKUTANA NA MKURUGENZI MKUU WA STANDARD CHARTERED...

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan Leo amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Standard Chartered Kanda ya Afrika na Mashariki ya Kati Bw. Sunil...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MPANGO AFUNGUA MKUTANO WA 26 WANACHAMA WA MFUKO WA PPF JIJINI ARUSHA LEO

Mgeni rasmi wa Mkutano wa 26 wa Mwaka wa Wanachama wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Phillip Mpango akitoa hotuba yake wakati akiufungua Mkutano huo, unaofanyika katika...

View Article
Browsing all 117138 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>