News Alert: Watu 88 wapoteza maisha na wengine 130 kujeruhiwa katika ajali ya...
Treni ya abiria aina ya Alvia 730 iliyokuwa ikisafiri kutoka mji wa Madrid kwenda mji wa bandari ya Ferrol,iliyokuwa imebeba abiria wapatao 218,imepata ajali mbaya sana leo na kusababisha vifo vya...
View ArticleRAIS KIKWETE AONGOZA MAADHIMISHO YA KUMBUKUMBU YA SIKU YA MASHUJAA KAMBI YA...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka ngao katika mnara wakati wa maadhimisho ya kumbukumbu ya Mashujaa katika kambi ya jeshi ya Kaboya, Bukoba, mkoani Kagera Julai 25, 2013.Rais Jakaya Mrisho Kikwete...
View ArticleMAKAMU WA RAIS WA CHAMA CHA WABUNGE WA JUMUIYA YA MADOLA BARANI SPIKA MAKINDA...
Makamu wa Rais wa Chama cha Wabunge wa CPA Barani Afrika, Mhe. Spika Anne Makinda akitambulishwa kwa Rais wa Namibia, Mhe. Hifikepunye Pohamba wakati wa sherehe ya ufunguzi wa Mkutano wa 44 wa Chama...
View ArticleWAZO LA WATANZANIA KUCHANGIA UKARABATI WA JENGO LA UBALOZI WA TANZANIA-...
Ndugu David Shinganya wa Kampuni ya SGC INVESTMENTS LTD akikabidhi cheki ya Kwacha Milioni Nane (ZK 8,000,000.00) kwa Balozi wa Tanzania nchini Zambia Mhe. Grace J. Mujuma katika kuitikia wito wa wazo...
View ArticleSERIKALI YAZITAKA HALMASHAURI ZA MIJI,MANISPAA NA MAJIJI KUIOA KIPAUMBELE...
Mkurugenzi wa mamlaka ya maji safi na maji taka mjini Moshi (MUWSA) Cyprian Luhemeja akichangia jambo katika kikao cha naibu waziri wa maji Dk Mahenge na watendaji wa idara ya maji. Mbunge wa jimbo la...
View ArticlePAMOJAH NITE!!!!!
Pamoja Nite is a get together reggae event, intended to showcase the best reggae DJs, quality sounds and interactive atmosphere. The event aims to gather the youths and everyone who accepts the...
View ArticleRUBADA yawapa changamoto madiwani Makambako kuchapa kazi zaidi
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Uendelezaji wa Bonde la Mto Rufiji (RUBADA), Bw. Aloyce Masanja akisisitiza jambo wakati wa semina ya kuwajengea uwezo watendaji na madiwani wa halmashauri ya mji wa...
View ArticleWASHINDI WA TUZO ZA HABARI ZA TANAPA WATEMBELEA VIVUTIO VYA UTALII AFRIKA YA...
Washindi wa Tuzo za Habari za TANAPA wakiwa nje ya nyumba ya Rais wa Kwanza mzalendo Nelson Mandela jijini Johannesburg, Afika ya Kusini. Kutoka kushoto ni Festo Sikagonamo (ITV), Albano Midelo...
View ArticleOLIVER MTUKUZI AFUNIKA JIJI LA NEW YORK
Video na Joshua Mmali.Oliver Mtukudzi alitoa burudani bure kwa wakazi wa New York katika eneo la kupumzika Free Park, maelfu ya wamarekani walifurika katika show yake. Hii inafundisha nini wasanii wa...
View ArticleBINTI APOTEA NA ANATAFUTWA NA NDUGU ZAKE
Pichani ni Mather Joseph mwenye umri wa mika 16. ni manfunzi wa Chuo cha ufundi cha Santer Peter Parish aliondoka nyumbani akielekea shuleni huko oysterbay akiwa amevalia ngua za shule sketi ya damu ya...
View ArticleMarekani yaunga mkono upelekaji wa Brigedi Maalum DRC
Na Mwandishi Maalum Wakati hali ya usalama ikiendelea kuwa tete Mashariki ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, kufuatia kuibuka upya kwa mapigano hivi karibuni. Marekani imetamka bayana mbele ya...
View ArticleArticle 22
"Hongera...Weruweru,umlezi wetuuu...."If this line reminds you of our beloved school,then this is for you.In preparations for our big celebrations of Weruweru's Golden Jubilee,we have a meeting on...
View ArticleMapigano yatishia wengi DRC
Mapigano baina ya majeshi ya serikali na waasi wa M23 yanazidi kuhusu wananchi wa vijiji ambao wanalazimika kupigana kulinda miji yao.
View ArticleRAIS KIKWETE WILAYANI MULEBA
Rais Kikwete akivikwa skafu na skauti baada ya kuwasili MulebaVikundi vya ngoma vikitumbuiza wageniRais Kikwete akisalimiana na mama wa Profesa Anna TibaijukaWaziri wa Ardhi Profesa Anna Tibaijuka...
View ArticleLindi Hatarini kupata magonjwa ya Matumbo ikiwemo kipindupindu
Na A bdulaziz Video LindiWakazi wa Manispaa ya Lindi, kwa takribani juma moja sasa, wanakabiliwa na ukosefu mkubwa wa upatikanaji maji safi na salama na kulazimika kutumia maji ya visima vya kienyeji...
View ArticleNafasi za Kazi MBEYA MANAGEMENT CONSULTANTS
MBEYA MANAGEMENT CONSULTANTS CERTIFIED ACCOUNTANTS IN PUBLIC PRACTICETunatangaza nafasi ya kazi ya mwasibu aliyehitimu chuo kikuu na kupata shahada au stashahada ya AccountancyVigezo:Awe na GPA...
View Article