Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 117112

WAZO LA WATANZANIA KUCHANGIA UKARABATI WA JENGO LA UBALOZI WA TANZANIA- LUSAKA, ZAMBIA LAANZA KUTEKELEZWA

$
0
0
Ndugu David Shinganya wa Kampuni ya SGC INVESTMENTS LTD akikabidhi cheki ya Kwacha Milioni Nane (ZK 8,000,000.00) kwa Balozi wa Tanzania nchini Zambia Mhe. Grace J. Mujuma katika kuitikia wito wa wazo la baadhi ya Watanzania waishio nchini Zambia walilolitoa kuchangia ukarabati wa Jengo la Ubalozi wa Tanzania nchini Zambia. Hafla hiyo ya kukabidhi cheki ilifanyika hivi karibuni Ofisini kwa Balozi Mujuma ikishuhudiwa na Maafisa wawili



Viewing all articles
Browse latest Browse all 117112

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>