Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 115525

News Alert: Watu 88 wapoteza maisha na wengine 130 kujeruhiwa katika ajali ya Treni nchini hispania leo

$
0
0
 Treni ya abiria aina ya Alvia 730 iliyokuwa ikisafiri kutoka mji wa Madrid kwenda mji wa bandari ya Ferrol,iliyokuwa imebeba abiria wapatao 218,imepata ajali mbaya sana leo na kusababisha vifo vya watu 88 huku wengine 130 wakiwa wamejeruhiwa vibaya sana. Ajali hiyo imetokea jioni ya leo nje kidogo ya mji wa Santiago de Compostela.Chanzo cha ajali hiyo inasemekana ni moja ya behewa za Treni hiyo kushindwa kukata kona wakati ikiwa kwenye mwendo mkali.
Msaada ukiendelea kutolewa.
Waokoaji wakiendelea na kazi ya uokozi kwa abiria walionasa kwenye treni hiyo.
Ni huzuni imetawala eneo la tukuo huku miili ya waliopoteza maisha ikiwa imefunikwa.
Uokoaji ukiendelea.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 115525

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>