Taasisi ya Aisha Sururu yamsaidia mlemavu
TAASISI ya Aisha Sururu, imetoa msaada wa baiskeli maalum kwa mtoto mlemavu, Saada Hamis Hamad (14), ambaye ni mshindi wa kwanza, kundi maalum, katika mashindano ya kuhifadhi Quran Tukufu, kitaifa....
View Articlekikosi cha stars chawasili nchini Uganda leo, JK akutana nacho Mwanza na...
Kikosi cha Timu ya Taifa (Taifa Stars) kikiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Entebe nchini Uganda jioni ya leo,tayari kwa mtanange wa marudiano na timu ya Taifa ya nchi hiyo utakaopigwa mwishoni mwa...
View Articletangazo la msiba London
Familia ya Mr. A Alfaghee inasikitika kutangaza kifo cha binti yao mpendwa MAIMUNA FATMA KARUMBA kilichotokea jana London UK. Ukiwa kama ndugu, jamaa na rafiki mchango wako wa dhati unahitajika ili...
View ArticleRAIS KIKWETE AWASILI MJINI BUKOBA LEO
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka jiwe la msingi la upanuzi wa uwanja wa ndege wa Bukoba leo Julai 24, 2013.Rais Jakaya Kikwete pamoja na Viongozi mbali mbali wakiwa kwenye picha ya pamoja mara baada...
View ArticleZiara ya Kamishna Jenerali wa Magereza Mkoani Geita
Kamishna Jenerali wa Magereza Nchini, John Casmir Minja( Kaunda suti nyeusi) akiagana na Mkuu wa Gereza la Wilaya, Mrakibu wa Magereza, Kamanda Mbilinyi mapema leo Julai 24, 2013 alipopita kukagua...
View ArticleUNIC YAHAMASISHA VIJANA WILAYANI KARAGWE KUJIUNGA KATIKA VILABU VYA UMOJA WA...
Afisa Habari wa Kitengo cha Habari cha Umoja wa Mataifa (UNIC) Usia Nkhoma Ledama akizungumza na Mkuu wa Shule ya Sekondari Ndama ya Wilayani Karagwe Mwl. Emmanuel Muganyizi kuhusiana na umuhimu wa...
View ArticleAbout School of Continuing Education and Workforce Development at VIU
Lifelong Learning for Career ProfessionalsWould you like to sharpen your career skills, increase your professionalism (and marketability) and learn about the latest trends, technologies, and...
View ArticleMaadhimisho ya Siku ya Mashujaa Mkoani Morogoro leo
Askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakiwa kwenye Maadhimisho ya Siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa iliyofanyika leo Mkoani Morogoro.
View ArticleUBALOZI WA MAREKANI WAIPONGEZA TTCL KWA KUTOA HUDUMA BORA ZA MAWASILIANO...
Kiongozi wa ujumbe kutoka ubalozi wa Marekani hapa nchini Bw. Jeff Shrader akitoa shukrani zake kwa uongozi na wafanyakazi wa TTCL alipotembelea makao makuu ya Kampuni hiyo. Afisa Mkuu wa Mauzo na...
View ArticleRais Kikwete azindua Jengo la Mahakama Kuu Kanda ya Bukoba leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akizindua rasmi jengo la Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Bukoba mapema leo asubuhi.Kushoto ni Jaji Mkuu,Mhe. Mohamed Chande...
View ArticleSWAHILI TV MTAANI KUNANI
Na Alex KassuwiKwa wanakijiji wenzangu, miaka 30 iliyopita nisingeliweza kuamini ninayo yaona na kuishi hivi sasa. Kwa kifupi tuliona wakija kijijini kama mapadri, wataalamu wa mashirika toka nje ama...
View ArticleMkutano wa Wasambazaji wa Mafuta na Gesi nchini waanza leo jinini dar
Mgeni Rasmi katika Mkutano wa Wasambazaji wa Mafuta na Gesi hapa nchini,Jerry Silaa akizungumza machache wakati wa kufungua rasmi mkutano huo leo,kwenye Hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es...
View ArticleBenki ya Dunia yaipa changamoto Afrika kuboresha matumizi ya ardhi kuondoa...
Benki ya Dunia imetoa changamoto kwa nchi za Afrika kuhimiza maendeleo endelevu ya ardhi ili kupunguza umaskini na kujiletea maendeleo.Ripoti ya Benki hiyo iliyotolewa Julai 22, 2013 imeeleza kuwa...
View ArticleRASIMU YA KATIBA: WANANCHI MOSHI, KALAMBO NA MUSOMA WAJADILI NA KUTOA MAONI
Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Joseph Warioba akiongea na Wajumbe wa Baraza la Katiba la Wilaya ya Musoma Vijijini waliokutana kujadili Rasimu ya Katiba. Mkutano huo ulifanyika...
View Article