BIRTH OF ROYAL BABY WHO BECOMES NUMBER THREE IN ROYAL SUCCESSION
The Duchess of Cambridge safely delivered a son, weighing 8lbs 60z, yesterday evening (4.24 pm UK time) in the presence of her husband, Prince William, the Duke of Cambridge.Their Royal Highnesses,...
View ArticleUNESCO YAWATAKA WATENDAJI WA REDIO ZA KIJAMII WILAYANI KARAGWE KUFANYA KAZI...
Mshauri Mwelekezi masuala ya utawala bora Bw. Wilbert Kitima akiendesha mafunzo kwa washiriki wa Redio Jamii yaliyofanyika mjini Kayanza, wilayani Karagwe mkoa wa Kagera na kumalizika mwishoni mwa...
View ArticleASKARI ALIYEUWAWA DARFUR AZIKWA SONGEA
 Asikari wa JWTZ wakiwa wamebeba mwili wa Rodney NdunguruAliye kaa katikati ni mama wa marehemu Rodney Ndunguru Askari wakiwa wamebeba mwili wa marehemu Rodney Ndunguru wakati wakielekea katika...
View ArticleNTV interviews tallest NBA Player, Hasheem Thabeet
On Friday night, NTV's Larry Madowo hosted Tanzanian NBA player Hasheem Thabeet, 7ft. 3inch. who also happens to be the tallest active NBA player, on the trend. Hasheem is touring the Kenya, and part...
View ArticleTANZIA: MKUU WA WILAYA MSTAAFU JOHN SHILATU AFARIKI DUNIA
Familia ya Mzee Shilatu wa Mbagala wanasikitika kutangaza kifo cha Baba yao Mpendwa JOHN SHILATU kilichotokea katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili tarehe 23/07/2013 saa 10 jioni kutokana na shinikizo...
View ArticleKAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA NCHINI AFANYA ZIARA YA KIKAZI MAGEREZA MKOANI...
Na Lucas Mboje wa Jeshi la Magereza, Mwanza  Kamishna Jenerali wa Magereza Nchini, John Casmir Minja amewataka Maafisa na Askari wa Jeshi la Magereza Nchini kuzingatia Taratibu za kazi za kila siku...
View ArticleAJALI KATIKA MSAFARA WA MAZIKO YA WANAJESHI ZANZIBAR
ASKARI WA JESHI LA ULINZI WAKISAIDIA KUONDOA MAJERUHI Â KATIKA ENEO LA AJALI ILIYOTOKEA LEO ENEO LA MWANAKWEREKWE BAADA YA GARI MOJA Â MSAFARA WA MAZISHI KUPINDUKA KARIBU NA SOKO KUU LAÂ MWANAKWEREKWE...
View ArticleSasa unaweza kununua Album na nyimbo zote za CPwaa kupitia iTunes
Habari ya kazi ndugu zangu.Ninayo furaha kuwajulisha ya kwamba sasa kazi zangu zote za muziki zitakuwa zinapatikana kwenye mitandao yote ya kununua nyimbo za wasanii duniani. Tayari nishasambaza Album...
View Articlemdau Leonora Wilson ndesanjo alamba nondozzzz chuo kikuu cha Glamorgan...
 Mdau Leonora wilson ndesanjo akipozi baada ya kula nondozzz ya BA Hons Human Resource Management Chuo kikuu cja  Glamorgan University,  Cardiff UK Leonora akiwa na rafiki yake Sim Joseph baada ya kula...
View ArticleTANGAZO
Natafuta fundi cherehani mwenye uzoefu wa kushona nguo za kike vizuri na kiume kidogo.SifaAwe hajaoa wala kuolewaUwezo wa kuisimamia Biashara hiyo mwenyewe bila mtu nyuma yakeAwe tayari kufanya kazi...
View ArticlePOLISI RUVUMA WAKAMATA MENO YA TEMBO WILAYANI TUNDURU
JESHI la polisi mkoani Ruvuma kwa mara nyingine limefanikiwa kukamata nyara za serikali katika wilaya ya Tunduru tukio ambalo limetokea Julai 21 mwaka huu majira ya saa 11:40 alfajiri lililotanguliwa...
View ArticleMDAU SARA ALI ABOUD ALAMBA NONDOZZ YAKE YA BSc in MATHEMATICS,CHUO KIKUU CHA...
Mdau Sara Ali Aboud akitembea kwa madaha kwenye stage mara baada ya kulamba Nondoz yake ya BSc in Mathematics (Financial IT ),katika Chuo Kikuu cha Brunell University nchini Uingereza.Mdau wa Globu ya...
View ArticleNaibu waziri wa maji atembelea mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira...
Naibu waziri wa maji Dk Bilinith Mahenge akizungumza na wafanyakazi wa mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira mjini Moshi (hawapo pichani) alipotembelea mamlaka hiyo. Mkurugenzi mpya wa mamlaka ya...
View ArticleWashindi watano waibuka na Milioni 10 kwenye Promosheni ya 'Cheka Plus' ya...
Ofisa wa bodi ya michezo ya kubahatisha nchini,Bw.Humud Abdulhussein(kulia)akihakiki namba ya mmoja ya washindi watano wa Sh Milioni Mbili wa promosheni ya Cheka Plus kutoka kwa Meneja Uhusiano wa Umma...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUTARU NA WANANCHI MKOANI ARUSHA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, (wa tano kutoka kushoto) akishiriki swala ya Magharibi na baadhi ya waumini wa dini ya kiislamu wa Mkoani Arusha, wakati...
View ArticleMAMA SALMA KIKWETE AKUTANA NA MAMA CHERRIE BLAIR NA AFUTURISHA VIONGOZI NA...
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete na mgeni wake Mama Cherrie Blair wakiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo, WAMA, mara baada ya kufanya mazungumzo yao. Mke wa Rais...
View ArticleNaibu waziri wa Maji atembelea vyanzo vya maji vya MUWSA
Naibu waziri wa maji Dk Mahenge akiangalia na kupokea maelezo toka kwa wafanyakazi wa MUWSA katika chanzo cha maji cha Nsere mkoani Kilimanjaro.Chumba maalumu kwa ajili ya matibabu ya maji katika...
View ArticleU.S. Medical Volunteers to Assist in Building Health Services Sector Capacity...
President of the United Republic of Tanzania Dr. Jakaya Kikwete (third from left, 1st row), U.S. Ambassador to Tanzania Alfonso E. Lenhardt (second from left, 1st row) and Peace Corps Country Director...
View Article