Mdau Leonora wilson ndesanjo akipozi baada ya kula nondozzz ya
BA Hons Human Resource Management Chuo kikuu cja Glamorgan University, Cardiff UK
BA Hons Human Resource Management Chuo kikuu cja Glamorgan University, Cardiff UK
Leonora akiwa na rafiki yake Sim Joseph baada ya kula nondozzz pamoja
![]() |
Leonora akiwa na baba na mama |

Kulia Bw. Ian Banks mume wa mama yake mdogo Leonora wa nne Diane May akiwa na watoto wake Adrian Na Raell na wa pili na watatu ni Bw. na Bi. Wilson Ndesanjo na wa tano Leonora na rafiki yake Sim Joseph wa Uk waliokula nondozzz pamoja na familia yake