Natafuta fundi cherehani mwenye uzoefu wa kushona nguo za kike vizuri na kiume kidogo.
Sifa
- Awe hajaoa wala kuolewa
- Uwezo wa kuisimamia Biashara hiyo mwenyewe bila mtu nyuma yake
- Awe tayari kufanya kazi Miswe Mlandizi ambako ndo kituo cha kazi
- Mzoefu zaidi kwenye nguo za kike new fashion.
- Awe tayari kuanza kazi maramoja.
Mambo mengine; Atapata malazi na chakula atakapoanza kazi hadi Biashara ikikaa vizuri atajitegemea. Preferred wadada kulingana na nature ya Mazingira ya kazi.
Wasiliana nami kwa namba za simu hapo chini.
0754 840487 na 0653 264 566 au inbox me at agape_nchimbi@yahoo.com
Mdau
Nauza printer heavy duty machine aina ya Minolta 350Di ipo katika hali nzuri kabisa na mara ya mwisho nimetoa kopi 34,000 ndani ya siku tatu bila matatizo. Naiuza kwa sababu naleta mali mpya Yaani machine mpya, nabadilisha vitendea kazi vyote kwenye ofisi yangu hivyo hivi naviuza kupisha nafasi kwa vifaa vipya. In any case nauza hata kama scraper. Lazima vitoke, bei maelewano tu. Machine hii ilinunuliwa Netherlands kwa maana hiyo ni original brand.
Tafadhali kwa mawasiliano zaidi nipigie kwa namba hizi 0754 840487 na 0653 264 566 au inbox me at agape_nchimbi@yahoo.com
Mdau