ASKARI WA JESHI LA ULINZI WAKISAIDIA KUONDOA MAJERUHI KATIKA ENEO LA AJALI ILIYOTOKEA LEO ENEO LA MWANAKWEREKWE BAADA YA GARI MOJA MSAFARA WA MAZISHI KUPINDUKA KARIBU NA SOKO KUU LA MWANAKWEREKWE UMBALI WA MITA MIA 300 KUTOKA MAKABURI YA MWANAKWEREKWE WALIKOZIKWA WANAJESHI WALIOUAWA DARFUR.
MAJERUHI ZAIDI WAKIONDOLEWA ENEO LA AJALI KUPELEKWA HOSPITALI
GARI LILILOPATA AJALI.