SEMINA KUHUSU USALAMA WA MATUMIZI YA KMPYOUTA (CYBER DEFENCE) KUFANYIKA MOROGORO
Rais wa taasisi ya isiyo ya kiserikali ya ISACA tawi la Tanzania, Boniface Kanemba akifafanua jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari, uliofanyika leo jijini Dar es Salaam kuhusu semina...
View ArticleKAULI YA BALOZI LIBERATA MULAMULA
Na Swahili TVMhe. Balozi Liberata Mulamula ametoa kauli ya kuwaunganisha watanzania wote, amesema kamwe hatoruhusu tofauti na makundi katika jamii za kitanzania. Ameyazungumza hayo katika papo kwa hapo...
View ArticleWEREMA AWAASA MAWAKILI WA SERIKALI KUFANYA KAZI KWA UZALENDO NA KUWAHUDUMIA...
Mwanasheria Mkuu wa Serikali leo amefungua mafunzo ya awali kwa mawakili wapya wa serikali wapato 33 kwenye hoteli ya giraffe, Dar-es-salaam. Mambo aliyotilia mkazo ni kuepuka vitendo vya rushwa,...
View ArticleKatiba Mpya: Wajumbe Mikoani Watoa Maoni Mabaraza ya Katiba
Wajumbe wa Baraza la Katiba la Halmshauri ya Wilaya ya Iramba Mkoani Singida wakiwa katika majadiliano ya kuipitia Rasimu ya Katiba Mpya iliyotolewa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba katika mkutano...
View ArticleUNESCO YAWATAKA WATENDAJI WA REDIO ZA KIJAMII WILAYANI KARAGWE KUFANYA KAZI...
Mshauri Mwelekezi masuala ya utawala bora Bw. Wilbert Kitima akiendesha mafunzo kwa washiriki wa Redio Jamii yaliyofanyika mjini Kayanza, wilayani Karagwe mkoa wa Kagera na kumalizika mwishoni mwa...
View ArticleNMB YAFADHILI SEMINA YA MAAFISA MAENDELEO WA VIJANA NCHINI
Benki ya NMB imefadhili semina kubwa iliyohusisha maafisa maendeleo wa vijana kutoka nchi nzima.Semina hii ambayo ilikua ni ya siku mbili ilifanyika katika kumbi za uwanja wa Taifa jijini Dar es...
View ArticleTUMEJIANDAA KUIKABILI UGANDA- KIM
Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Kim Poulsen amesema kikosi chake kimejiandaa kuikabili Uganda kwenye mechi ya marudiano ya mchujo kuwania tiketi ya kucheza Fainali za Kombe la Afrika kwa Wachezaji wa Ndani...
View ArticleWajipanga kususia kituo cha mabasi Nachingwea mkoani Lindi
Na Abdulaziz Video,LindiHuku kukiwa na zaidi ya sh milioni 700 zikiwa zimeanza kutumika katika ujenzi wa kituo kipya cha mabasi cha wilaya ya Nachingwea, mkoani Lindi ambapo zoezi la ujenzi wa kituo...
View ArticleMFUMO MPYA WA USAJILI WA VIZAZI NA VIFO KUPITIA MKAKATI WA USAJILI WA WATOTO...
 Picha ya pamoja mara baada ya  kuuzinduwa mfumo mpya wa usajili wa Vizazi  na vifo kupitia mkakati wa usajili wa watoto wa umri chini ya miaka 5 bure jijini Mbeya,hafla hiyo inayoratibiwa na...
View ArticleMWENGE WA UHURU WAMALIZA ZIARA YAKE MKOANI RUKWA LEO, WAPAA ANGANI KWA NDEGE...
Mwenge huo wa Uhuru umetembelea miradi 23 ya maendeleo na miradi 28 ya vikundi Mkoani Rukwa vyenye thamani ya fedha za kitanzania zaidi ya shilingi bilioni 3.4 ikiwa ni mchango wa Serikali kuu,...
View ArticleDkt. KAWAMBWA ATEMBELEA OFISI MPYA ZA BODI YA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA...
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Mhe. Dkt. Shukuru Kawambwa na Naibu wake Mhe. Philipo Mulugo wametembelea Ofisi Mpya za Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu zilizopo Mwenge Barabara ya Sam...
View ArticleRAIS WA ZANZIBA DK,SHEIN AONGOZA MAZISHI YA WANAJESHI LEO
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati) akijumuika na Vingozi na Waislamu wengine katika Hitma ya wanajeshi waliouwawa kwa kupigwa risasi Jimbo la...
View ArticleSERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar yaamua kulivunja Shirika la Utalii Zanzibar
NA MIZA KONA / HABARI MAELEZO ZANZIBAR SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar imeamua kulivunja Shirika la Utalii Zanzibar kutokana na changamoto zinazolikabili Shirika hilo hivi sasa. Akiwasilisha hotuba ya...
View ArticleRAIS KIKWETE AKUTANA NA WAZIRI MKUU WA ZAMANI WA UINGEREZA TONY BLAIR IKULU...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza Mhe. Tony Blair Ikulu jijini Dar es salaam leo Julai 23, 2013.Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimwonesha mandhari mbalimbali...
View ArticleRAIS KIKWETE AKUTANA NA VIONGOZI WA CHAMA CHA MAKAMPUNI YA SIMU ZA MKONONI...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitambulishwa kwa wajumbe wa Chama cha Makampuni ya Simu za mkononi na Bw. Manoj Kohli wa Airtel ambaye pia ni Mkurugenzi wa Pamoja wa chama hicho alipokutana nao kwa...
View Article