NBC KUPITIA HUDUMA YA ISAMIC BANKING YAANDAA FUTARI KWA WATEJA WAKE
Naibu Waziri wa Fedha, Bi. Saada Mkuya Salum (kushoto) na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Bi. Mizinga Melu (kushoto kwake) wakichukua mlo wa futari pamoja na baadhi ya wateja wa benki hiyo katika...
View ArticleMAMBO YA CARNIVAL 2013 NDANI YA MJI WA MARYLAND,MAREKANI
Mdau Charles Kaiza akiwakilisha kwenye Carnival 2013 huko Baltimore Maryland. Maandamano yakiwa yamechanganya kama mdundiko. Kwa picha zaidi bofya Sundayshomari.com
View ArticleKamanda Kova ziarani nchini Marekani
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam,Kamishna wa Polisi,Suleiman Kova (wa pili kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Watanzania waishio jijini Houston,Marekani mara baada ya...
View ArticleSERIKALI KUSHUGHULIKIA MAPENDEKEZO TOZO KODI ZA SIMU
Waziri wa Fedha Dk. William Mgimwa akisisitiza jambo juu ya tozo la kodi katika laini za simu wakati alipokutana na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam. (Picha na Frank Shija – Maelezo)Na....
View ArticleWaziri Mkuu aendelea na ziara yake Wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiendesha pikipiki wakati alipozindua Mradi wa Pikipiki wa Kikundi cha SACCOS ya vijana wa Mbinga kwenye uwanja wa CCM mjini Mbinga akiwa katika ziara ya mkoa wa Ruvuma...
View ArticleInternational African Festival Tubingen 2013,Kuanza tarehe 8 hadi 11 .08.2013...
Onyesho kubwa la kimataifa "International African Festival Tubingen 2013,linatalajiwa kuanza tarehe 8 hadi 11.Augost 2013,mjini Tübingen, jirani na Stuttgart huko Ujerumani. Maonyesho hayo ya aina yake...
View ArticleWanahabari watembelea Nyumba 3 za Airtel Yatosha Kigamboni
Meneja Mawasiliano wa shirika la nyumba la Taifa Bw, Yahaya Charahani akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati ambapo waandishi hao walitembelea eneo la kibada wilaya ya Temeke kujionea...
View ArticleRUBADA yawataka vijana Makambako kuchangamkia kilimo
Mmoja wa vijana wanaojishughulisha na kilimo cha mboga mboga katika Bonde la Mlowa katika Halmashauri ya Mji wa Makambako Mkoani Njombe, Saimon Mdee (kushoto) akimsikiliza kwa makini Mkurugenzi wa...
View ArticleTANGA SOBER HOUSE: Rehab inayowanusuru vijana na matumizi ya dawa za kulevya,...
Idadi kubwa ya vijana wanaojiingiza katika matumizi ya dawa za kulevya inaweza kupungua ama kuisha kabisa endapo waathirika wa utumiaji wa dawa hizo watatumika kutoa elimu kwa vijana wenzao ambao bado...
View Articlewanataaluma wanogesha mahafali ya kwanza ya chuo cha ulinzi cha taifa
Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali akiagana na wanataaluma waliotoa mada kwenye mahafali ya kwanza ya Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) Kunduchi, jijini Dar es salaam, mwishoni mwa wiki....
View ArticleSHEREHE ZA UZINDUZI WA UPANUZI WA ZAHANATI YA POLISI ZANZIBAR
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Saidi Mwema akipokea zawadi ya mfano wa mashua kutoka kwa mwakilishi wa kikundi cha ulinzi shirikishi cha shehia ya Stone Town, Saidi Mkweche wakati wa sherehe za...
View ArticleRAIS KIKWETE AWAONGOZA WANANCHI KUAGA NA KUTOA HESHIMA ZA MWISHO KWA MIILI YA...
Rais Jakaya Kikwete, mkewe Mama Salma, wakitoa heshima za mwisho mbele ya majeneza yenye miili ya Askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) waliopoteza maisha Jimboni Darfur nchini...
View ArticleBongo kweli Tambarareeeee
Cheki wasauzi wanavyomiminika kwa wingi ndani ya Pipa kuja bongo. Hapo ni Oliver Tambo international airport kama walivyonaswa na Kamera ya Globu ya Jamii leo.
View ArticleWAZIRI MEMBE AZUNGUMZA NA WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA NEW ZEALAND
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akizungumza masuala mbalimbali katika kuimarisha ushirikiano kati ya Tanzania na New Zealand alipokutana na Waziri wa...
View ArticleSERENGETI FREIGHT FORWARDERS LTD WAZEE WA KAZI SIMPLY THE BEST!
WE PROMISED, WE DID IT AND WE ARE MAKING IT EVEN BETTER!GOOD NEWS TO ALL!REACHING THE COMMUNITY!, WE NOW HAVE AGENTS ALL OVER UKNORTHAMPTON AGENT,MOSES MBAA, TEL 07904773779SUITE 15 NOTHAMPTON...
View Article