Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali akiagana na wanataaluma waliotoa mada kwenye mahafali ya kwanza ya Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) Kunduchi, jijini Dar es salaam, mwishoni mwa wiki.
Wanataaluma waliotoa mada kwenye mahafali ya kwanza ya Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) Kunduchi, jijini Dar es salaam, mwishoni mwa wiki.
Baadhi ya wahitimu na wanataaluma waliotoa mada kwenye mahafali ya kwanza ya Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) Kunduchi, jijini Dar es salaam, mwishoni mwa wiki.
Viongozi wa kitaifa wakiwa na wahitimu kwenye mahafali ya kwanza ya Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) Kunduchi, jijini Dar es salaam, mwishoni mwa wiki.
iongozi wa kitaifa wakiwa na wanataaluma waliotoa mada kwenye mahafali ya kwanza ya Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) Kunduchi, jijini Dar es salaam, mwishoni mwa wiki.