URA YAIFUNGA SIMBA 2-1
Mshambuliaji wa Simba, Marcel Boniventure akichuana na beki wa URA ya Uganda, Walulya Derrick katika mchezo wa kimatifa wa kirafiki uliofanyika le okwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. URA...
View ArticleMEYA WA ILALA AFANYA ZIARA KATIKA MASOKO YA ILALA NA BUGURUNI KUKAGUA BEI ZA...
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala Mh. Jerry Silaa ( wa nne kulia)akipata maelezo kutoka kwa mmoja wa wafanyabiashara wa mihogo katika soko la Ilala alipofanya ziara rasmi katika masoko ya Buguruni...
View Articlemfano wa kuigwa: mtanange kati ya wachungaji na mashekhe
Hii ni game ya soccer kati ya viongozi wa dini ya Kiislam (Imams) na kikstrotu (Mapadre) iliyofanyoka huko Yorkshire, UK. Viongozi hawa hawakuishia kuvaa majoho yao na kuhubiri bali waliamua kujumuika...
View ArticleWABUKINI KUCHEZESHA STAR, UGANDA
Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limeteua waamuzi kutoka Madagascar kuchezesha mechi kati ya Tanzania (Taifa Stars) na Uganda (The Cranes) itakayochezwa Jumamosi (Julai 27 mwaka huu) Uwanja wa...
View ArticleUSALAMA NI MTAJI WA MAENDELEO - IGP MWEMA
Na. Tamimu Adam- Jeshi la PolisiVikundi vya ulinzi shirikishi kote nchini vimetakiwa kuwa makini na kuzingatia madili katika kutekeleza majukumu yao ya kuimarisha ulinzi na usalama katika maeneo yao...
View ArticleZIARA YA WAZIRI MKUU,MIZENGO PINDA SONGEA MJINI
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na baadhi ya wafanyakazi wa Idara ya uhamiaji wakati alipowasili kwenye jengo la Idara hiyo mjini Songea kuweka jiwe la msingi akiwa katika ziara ya mkoa wa...
View ArticleVodacom Foundation yaendelea kuwa karibu na jamii katika kipindi hiki cha...
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Evarest Ndikilo akishirikiana na Mfanyakazi wa Vodacom Mwanza Jumao Khamis kukabidhi kitoweo cha mbuzi kwa wanafunzi wa moja ya madrasa za jijini humo zilizonufaika na sadaka ya...
View ArticleMAALIM SEIF ZIARANI MKOA WA KUSINI UNGUJA
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, leo amefanya ziara ya kuwatembelea na kuwafariji wagonjwa na wafiwa katika Mkoa wa Kusini Unguja. Katika ziara hiyo Maalim Seif amewaombea...
View ArticleKocha Bert Trautmann na soka la Tanzania, alituwekea msingi…..
Na Israel sariaWIKI hii ulimwengu wa soka umempoteza mmoja wa wataalam wa soka waliobobea, Mjerumani Bert Trautmann (pichani) aliyefariki dunia Ijumaa ya Julai 19, 2013 jijini Valencia nchiniHispania...
View ArticleWaziri Chikawe azindua Kitabu kiitwacho (Mabadiliko ya Katiba na Hatima ya...
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Mathias Chikawe (kulia)akikata utepe kuzindua rasmi kitabu hicho(katikati) Mtunzi wa kitabu cha (Mabadiko ya Katiba na Hatima na Tanzania) Luten Kanali Lindwino Simon...
View Article2012 MARATHON OLYMPIC CHAMPION BARES ALL TO SPORAH SHOW
THE 2012 OLYMPIC CHAMPION IN THE MARATHON SAYS IT ALL..! Stephen Kiprotich is a Ugandan long-distance runner, born in Kapchorwa District. He is the 2012 Olympic champion in the marathon, with a winning...
View Articlewadau walia na 'tigo fasta' baada ya mfanyabiashara kuuwawa magomeni mapipa
Mfanyabiashara mmoja ameuwawa na majambazi walokuwa wakitumia usafiri wa pikipiki maarufu kama Boda Boda huko Magomeni Mapipa jijini Dar es salaam, karibu na makutano ya mtaa wa Jaribu na Tosheka...
View ArticleSERENGETI FREIGHT WAAMUA KUFANYA KWELI, MZEE WA KAZI ARUKA NA PIPA LA KQ...
BAADA YA KUONA SUALA LA KUSAFIRISHA VIFURUSHI KWENDA NAIROBI NA DAR LIMEKUWA GUMU KWA WATANZANIA NA WAKENYA WAISHIO UK, WAZEE WA KAZI WALIAMUA KULITAFUTIA UFUMBUZI AMBAPO MZEE WA KAZI CHRIS LUKOSI...
View ArticleRAIS KIKWETE AHUDHURIA MKUTANO WA SIKU MOJA WA TROIKA YA SADC JIJINI...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akijibu maswali toka kwa wanahabari wakati wa mkutano wa pamoja na waandishi wa habari mara baada ya mkutano wa siku moja wa Kamati ya Troika ya Siasa na Usalama ya Jumuiya...
View ArticleMakamu wa Rais Dkt. Bilal afungua kituo kipya cha Mabasi Mbagala Rangi Tatu...
Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Mohamed Gharib Bilal amempongeza Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke kwa kushirikiana vyema na watendaji wa eneo la Mbagala na maeneo mengine...
View ArticleNgoma Africa band kutumbuiza Jambo seeheim Festival ,28.07.2013
Kikosi kazi cha Ngoma Africa band aka FFU ughaibuni kinatarajiwa kutingisha jukwaa la Jambo Seeheim usiku wa jumapili 28.Julai 2013 kuanzia saa 2.00 usiku katika ukumbi wa Sport & Kulturhalle...
View Articlewadau pastor na lillian wameremeta
Mdau Pastor Uwezo Mwakitalima ambaye pia ni mwanafunzi wa shahada ya kwanza ya Ualimu, akiwa na mai waifu wake Lillian baada ya kumeremeta hivi karibuni katika kanisa la Azania Front jijini Dar es...
View ArticleTAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI TOKA TFF LEO
LIGI KUU YA VODACOM 2013/2014 KUANZA AGOSTI 24Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kuwania ubingwa wa Tanzania Bara msimu wa 2013/2014 inaanza kutimua vumbi Agosti 24 mwaka huu kwa timu zote 14 kuwa viwanjani...
View Article