JK akutana na Professa Lipumba ikulu Jijini Dar es Salaam
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete jana alikutana na Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi (CUF)Profesa Ibrahim Lipumba na kufanya naye mazungumzo ikulu jijini Dar es Salaam.Mazungumzo hayo yalihusu masuala...
View ArticleBREKING NYUUUZZZZ: MFANYABIASHARA MAARUFU AMWAGIWA TINDIKALI DAR ES SALAAM...
HABARI ZIMETUFIKIA PUNDE TU ZINASEMA MFANYABIASHARA MMOJA MAARUFU NCHINI SAID MOHAMED AMEMWAGIWA KITU KINACHODHANIWA NI TINDIKALI NA WATU WASIOJULIKANA MAENEO YA MSASANI JIRANI NA KITUO CHA POLISI CHA...
View ArticleMhe. Membe akutana na Mkaguzi Mkuu na Mdhibiti wa Hesabu wa China
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akizungumza na Mkaguzi Mkuu na Mdhibiti wa Hesabu za Serikali wa Jamhuri ya Watu wa China, Bw. Liu Jiayi alipofika...
View Articlewawili zaidi waunganishwa kweye kesi ya pasipoti ya msanii che mundugwao
WAKAZI wawili wa Dar es Salaam, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa ajili ya hapo baadae kuja kuunganishwa katika kesi ya wizi wa Paspoti 26 inayomkabili Msainii wa Muziki wa...
View ArticleHAFLA FUPI YA KUMTAMBULISHA BALOZI MULAMULA KWA MABALOZI NA VIONGOZI WA...
Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani umemfanyia hafla fupi ya kumtambulisha Mhe. Balozi Liberata Mulamula kwa kwa Whe. Mabalozi wa nchi jirani na nchi marafiki wa Tanzania wakiwemo viongozi wa jumuiya...
View ArticleKAMANDA WA POLISI MKOA WA DODOMA AHAMASISHA MKAKATI WA POLISI JAMII NA ULINZI...
Na Luppy Kung’alo wa Jeshi la Polisi DodomaPicha mbalimbali za Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Bw. David Misime akitembelea wilaya ya Mpwapwa na vijiji vyake kwa ajili ya kuhamasisha mkakati wa Polisi...
View ArticleMama Kikwete awataka wanawake kutobaguana kutokana na totauti zao za vyama...
Na Anna Nkinda – Maelezo Mke wa Rais Mama Salma Kikwete amewataka wanawake wa dini zote nchini kutokubaguana kutokana na itikadi zao za vyama vya siasa bali wawe mstari wa mbele kuhubiri amani na...
View ArticleBrazil World Cup ticket prices revealed by Fifa
Ticket prices for international fans attending the football World Cup in Brazil will start at $90 (£59, 69 euros) for initial group matches.Football's governing body Fifa announced that the cheapest...
View ArticleDK. ALI MOHAMED SHEIN AFUTARISHA KISIWANI PEMBA
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,alijumuika na Waislamu na wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba,katika Swala ya Magharibi kabla ya kufutari nao pamoja kwa...
View ArticleMdau Donald Wilson Ndesanjo alamba nondozz
Mdau Donald Wilson Ndesanjo (shoto) aliyekula Nondozzz ya BA International Business Chuo Kikuu cha Middlesex University nchini Uingereza.akiwa katika picha ya pamoja na Wazazi wake,Baba Wilson Ndesanjo...
View ArticleZIARA YA WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA WILAYA YA SONGEA VIJIJINI
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu (kushoto) wakisalimiana na Madwani wa Songea Vijijini baada ya kuwasli kwenye kijiji cha Mkenda kuweka jiwe la Msingi la Soko wakiwa katika ziara ya mkoa wa...
View ArticleWAZIRI NCHIMBI ASHIRIKI MKUTANO WA KIMATAIFA WA TEKNOLOJIA YA KUPAMBANA NA...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi akizungumza katika Mkutano wa Teknolojia ya Kupambana na Uhalifu uliofanyika katika Jiji la Lyon nchini Ufaransa hivi karibuni. Waziri Nchimbi...
View ArticleRAGE AGEUKA SHUJAA MKUTANO WA SIMBA, WAFANYIKA KWA SAA MOJA
Mwenyekiti wa Simba, Ismail Aden Rage akifafanua jambo wakati wa Mkutano Mkuu wa Simba wa kujadili maendeleo ya klabu hiyo ulioanza saa nne kamili na kumalizika saa tano kamili katika Bwalo la Maofisa...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGA KOZI YA KWANZA YA CHUO CHA TAIFA CHA ULINZI...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Cheti cha utambulisho wa Ukufunzi wa Kozi maalum ya Kwanza ya Mafunzo, katika Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC)...
View ArticleTFF YATOA RAMBIRAMBI MSIBA WA BERT TRAUTMANN
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limepokea kwa masikitiko taarifa za kifo cha kocha wa zamani wa Taifa Stars, Bert Trautmann (89) kilichotokea jana (Julai 19 mwaka huu) nchini Hispania.Kabla...
View ArticleMiili ya Askari Saba waliofariki huko Darfur yawasili nchini leo
Sehemu ya Masanduku yenye miili ya askari wa saba wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) waliofariki dunia hivi karibuni huki Darfur nchini Sudani wakati wakilinda amani,yakishushwa kwenye...
View Article