UCHAGUZI WA TFF KUFANYIKA SEPTEMBA 29,KAMATI YA MAJAJI YAPANGWA KUONGOZA...
Wakati uchaguzi mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), ukiwa umepangwa kufanyika Septemba 29, Majaji na wanasheria wametangazwa kuongoza kamati mbali mbali za shirikisho hilo.Kikao cha kamati ya...
View ArticleDC HANDENI AAGIZA WAFANYABIASHARA KUTOA STAKABADHI KWA KUTUMIA MASHINE ZA TRA
Na Mohammed Mhina, wa Jeshi la Polisi.Serikali wilayani Handeni mkoani Tanga, imewataka Wafanyabiasha wilayani humo, kuhakikisha kuwa wananunua na kutumia mashine za TRA za kielektroniki (EFD) katika...
View ArticleWaziri Mkuu akiwa Wilayani Nyasa Mkoani Ruvuma
Waziri Mkuu, Mizenfo pinfa akiwapungia wananchi wa kijiji cha Kiagara wilayani nyassa akiwa katika ziara ya mkoa wa Ruvuma Julai 182013. Kulia ni mkewe Mama Tunu Pinda. Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu...
View ArticleWAZIRI WA UCHUKUZI, DKT. HARRISON MWAKYEMBE AKUTANA NA MWENYEKITI WA KAMPUNI...
Waziri wa Uchukuzi, Dkt. Harrison Mwakyembe (kulia), akifafanua jambo kwa Mweyekiti wa Kampuni ya Alhayat Investment na Nembras Investment ya nchini Oman, Shekhe Salim Al-Harthy, wakati walipomtebelea...
View ArticleTPA WAONGEA NA WAANDISHI KUELEZEA MAFANIKIO NA MIKAKATI YA KUBORESHA HUDUMA
Viongozi wakuu wa idara mbalimbali za TPA wakiongea na waandishi wa Habari leo ukumbi wa Maelezo, kuhusu mafanikio yaliyopatikana na mikakati mbalimbali ya kuboresha huduma kwa wateja, kutoka kulia ni...
View ArticleZIARA YA MBUNGE WA JIMBO LA MOROGORO MJINI , ABDULAZIZ ABOOD AKIKAGUA...
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini, Abdulaziz Abood ( kati kati) pamoja na Meya wa Manispaa ya Morogoro , Amiri Nondo, ( mwenye kuvaa koti) Julai 18, 2013, wakibadirishana mawazo wakati wakikagua...
View ArticleNEEMA YA MAJI KWA WAKAZI WA JIJI LA DAR ES SALAAM KUPITIA USHIRIKIANO BAYANA...
Dar es Salaam ni moja ya majiji ambayo yanakua kwa kasi kiuchumi. Hii ni kutokana na kuongezeka kwa idadi ya watu, uwekezaji, Viwanda nk. Haya yote yamekuwa yanachangia kwa sehemu kubwa ongezeko la...
View ArticleTAASISI YA MISA NA UBALOZI WA CANADA WAWAPIGA MSASA WAANDISHI WA HABARI NCHINI
MWENYEKITI wa Taasisi ya Habari Kusini mwa Afrika kanda ya Tanzania (MISATAN), Mohammed Tibanyendera akizungumza muda mfupi kabla mkaribisha Balozi wa Cananda Nchini Tanzania, Alexandre Leveque...
View ArticleKWIECO WAFANYA MKUTANO MKUU MKOANI KILIMANJARO
Wajumbe wa mkutano mkuu wa shirika lisilo la kiserikali linaloshughulika na maswala ya jinsia na wanawake mkoani Kilimanjaro, (KWIECO) wakifanya sala kabla ya kuanza kwa mkutano mku wa shirika hilo....
View ArticleSAMSUNG YAJA NA MBINU MPYA YA KUEPUKA BIDHAA FEKI YA PROGRAMU YA E-WARRANT
Meneja mauzo na Usambazaji wa Kampuni ya Samsung,Sylvester Manyara (wa pili kulia) akimpigia simu mshindi wa TV ya Samsung nchi 32 wakati wa kucheza droo kwa wateja wa kila mwezi wa bidhaa za kampuni...
View ArticleWENGI WAJITOKEZA MAZISHI YA MAREHEMU DAVID MAJEBELLE
Mwili wa marehemu David majebelle ukiwasili nyumbani kwake Sinza jijini Dar es Salaam. Jeneza lililokuwa na mwili wa marehemu David Majebelle likiwa nyumbani kwake Sinza jijini Dar es Salaam wakati wa...
View ArticleUmoja wa Watanzania Ujerumani (U.T.U ) Kushiriki katika Festival ya...
Watayarishaji wa Festival ya "Brüderschaft der völker " mjini Aschaffenburg, nchini Ujeruamani,wameuhalika Umoja wa Watanzania Ujerumani (UTU) kushiriki katika maonyesho hayo utamaduni wa nchi mbali...
View ArticleTAASSISI ZA UMMA ZITUMIE FURSA KULETA KASI YAMAENDELEO - KOMBANI
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mh. Celina O. Kombani (MB) akifungua mkutano kuhusu Mchango wa Utumishi wa Umma katika Utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo wa Miaka Mitano...
View ArticleMWENYEKITI WA KIJIJI KILINDI JELA KWA RUSHWA YA KUUZA ARDHI KINYEMELA
Na Mohammed Mhina, wa Jeshi la Polisi Mwenyekiti wa Kitongoji cha Kwemakumbi katika kijiji cha Kireguru wilaya ya Kilindi mkoani Tanga, Hamza Rajabu Ngaramilo(56), leo amehukumiwa kifungo cha miaka...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AHANI MSIBA WA JAJI MSTAAFU, BUXTON CHIPETA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisaini katika kitabu cha maombolezo ya Msiba wa Jaji Mstaafu, Buxton Chipeta, aliyefariki dunia Julai 16, mwaka huu...
View ArticleDkt. John Pombe magufuli amwondolea uvivu mkandarasi wa barabara ya...
Waziri wa ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli amekagua ujenzi wa barabara ya Ndundu Somanga yenye kilomita 65 itakayogharimu Shilingi bilioni 58.8 na kuagiza ifikapo Desember 30 mwaka huu mkandarasi wa...
View ArticleSSRA, MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII NA NIDA katika mikakati ya matumizi ya...
SSRA, MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII NA NIDA imekutana ili kujadili jinsi vitambulisho vya Taifa vinavyoweza kutumika ili kuongeza wigo wa Wanachama katika Sekta ya Hifadhi ya Jamii na hivyo kupunguza...
View Article