SERIKALI YAKABIDHIWA RASMI MAJENGO YA LAW SCHOOL OF TANZANIA
Naibu Meneja wa Kampuni ya Beijing Construction Engineering Group iliyokuwa ikijenga majengo ya Taasisi ya Mafunzo ya Uanasheria kwa Vitendo Tanzania (Law School of Tanzania) Bw. Zhang Chengwei akitia...
View ArticleBuya Ernest aibuka mshindi wa shindano la modo wa utalii Manyara,kurindima...
Kushoto Mkurugenzi wa Event Planners na muandaaji wa shindano la Modo wa Utalii Graysson Kijo a.k.a Chinaa akiwa katika picha ya pamoja na mshindi wa shindano hilo Bi.Buya Ernest(19) wa pili ni Simon...
View ArticleDAVID MAJEBELLE KUZIKWA MAKABURI YA KINONDONI JULAI 18
MWILI wa mwandishi mkongwe David Michael Majebelle. aliyefariki alfajiri ya Jumapili iliyopita unatarajiwa kuzikwa leo katika makaburi ya Kinondoni Dar es Salaam Julai 18Kwa mujibu wa taarifa rasmi...
View ArticleWaziri Mkuu aweka jiwe la msingi na kuzindua miradi ya maendeleo Namtumbo
Waziri Mkuu Mizengo kayanza Pinda akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Hospital ya Wilaya ya Namtumbo Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikata utepe kuashiria uzinduzi wa machinjio ya kisasa katika mji mdogo...
View ArticleWanahabari watembelea Mradi wa Uranium uliopo chini ya Kampuni ya Manrta...
Afisa wa Kitengo cha Usalama wa Kampuni ya Mantra Tanzania inayoshughulika na Mradi wa Uchimbaji Madini aina ya Uranium,uliopo kwenye Kijiji Mkuju,Wilayani Namtumbo Mkoani Ruvuma,Fredrick Kriel akitoa...
View ArticleVodacom yaboresha Maisha ya wanawake 400 Temeke,jijini Dar
Meneja Mawasiliano wa Vodacom Tanzania,Bi.Rukia Mtingwa(katikati)akiongea na baadhi ya kinamama wajasiriamali wadogowadogo wanaofanya biashara katika soko la Temeke Sterio jijini Dar es Salaam wakati...
View ArticleMNARA WA KUMBUKUMBU YA MAHALA ALIPOWAKI KULALA MWALIMU NYERERE
Huu ni Mnara wa Kumbukumbu ya Mahala alipowahi kulala Marehemu Baba wa Taifa,Hayati Mwalim Julius Nyerere wakati akiwa katika harakati za kutafuta uhuru wa nchini yetu hii mnamo mwaka 1955.Mnara huu...
View ArticleMTABIRI BINGWA WA KWANZA WA HALI YA HEWA TANZANIA NA MKURUGENZI MKUU WA...
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania inasikitika kutangaza kifo cha aliyekuwa mtabiri bingwa wa kwanza wa hali ya hewa na mkurugenzi mkuu wa kwanza wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania Bw. Urban Blass...
View ArticleTUFURAHIE HEPI BESDEI YA KUZALIWA MADIBA NA SIKU YA MANDELA DAY LEO
Ankal akiwa katika sebule ya nyumba aliyokuwa akiishi Mzee Nelson Mandela Mtaa wa Vilakazi namba 8115 huko Orlando ya Magharibi, Soweto, Afrika Kusini. Hii ilikuwa Julai 18, 2010 wakati wa kuadhimisha...
View ArticleANGALIZO LA GLOBU YA JAMII: HUDUMA ZETU NI ZA BURE
HABARI ZA KIJAMII KAMA VILE MISIBA, HARUSI, SHEREHE ZA KUZALIWA NA NYINGINE AINA HIYO HUCHAPISHWA NASI BILA MALIPO. HALI KADHALIKA HABARI NA PICHA KUTOKA SEHEMU YOYOTE ILE HUCHAPISHWA BURE. HII NI...
View ArticleWAFANYAKAZI WOTE WA AIRTEL DAR WAINGIA MITAANI KUTOA SOMO JINSI YA KUJIUNGA...
Mkurugenzi wa Airtel huduma kwa wateja Bi Adriana Lyamba LEO amesema Airtel inafanya zoezi la kuingia mtaani jijini dar es salaam na wafanyakazi wao wote wa ofisi kuu jijini Dar es salaam kwa lengo ka...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT BILAL AREJEA NCHINI.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiteremka kwenye ndege GF1 alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere Dar es salaam akitokea Nchini...
View ArticleCHAJA YA READYSET KUTOA NJIA MBADALA YA CHANZO CHA NISHATI.
Meneja Mauzo wa Vodacom Tanzania, kupitia mradi wa"Readyset Charge" Bw. Nicholaus Kizenga,akiwaonesha wakazi wa Ubungo jijini Dar es Salaam jinsi yakutumia chaji hiyo inayotumia mionzi ya...
View ArticleTANZANIA YAPOKEA MKOPO WA BILIONI 87 ZA UJENZI WA VITUO VYA KUHIFADHIA...
Waziri wa Fedha Dk.William Mgimwa kushoto akiwa na Mwenyekiti na Rais wa Benki ya Export Import ya Korea wakionyesha mkataba wa mkopo wenye thamani ya shilingi billioni 87 za kitanzania,waliosaini...
View ArticleWananchi Sasa Kupata Taarifa za Huduma za RITA kwa ‘Sms’ , Tovuti na Mitandao...
Naibu Waziri Angellah Jasmine Kairuki akizungumza katika hafla ya uzinduzi rasmi wa huduma ya mpya ya kidijitali za Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) ambazo zitawawezesha wananchi wote wenye...
View ArticleProf. Mbarawa atoa somo kwa nchi zinazopitiwa na Bonde la Ufa
Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Profesa Makame Mbarawa akiwasilisha mada wakati wa mkutano maalumu wa kuangalia changamoto na hatua mbalimbali za kimaendeleo katika sekta ya TEHAMA kwa...
View ArticleTAARIFA KWA UMMA:USALAMA WA DAWA AINA YA DICLOFENAC
Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) ina jukumu la kulinda na kudumisha afya ya jamii kwa kuhakiki ubora, usalama na ufanisi wa vyakula, dawa, vipodozi na vifaa tiba.Hivi karibuni, TFDA imepokea taarifa...
View ArticleOrange-Fleshed Sweet Potatoes event
USAID/Tanzania Mission Director Sharon L. Cromer delivers remarks about the nutritious and economic benefits of Orange Fleshed Sweet Potatoes during the Orange Fleshed Sweet Potato Harvest held in...
View Article