Kushoto Mkurugenzi wa Event Planners na muandaaji wa shindano la Modo wa Utalii Graysson Kijo a.k.a Chinaa akiwa katika picha ya pamoja na mshindi wa shindano hilo Bi.Buya Ernest(19) wa pili ni Simon na Jairos kutoka kampuni ya Megatrade Investment, wadhamini wakuu wa shindano hilo kupitia kinywaji chake cha K-vant gin lililofanyika mjini Babati.
Kulia ni mshindi wa pili katika shindano hilo Veronica Christopher(20),Mkurugenzi wa Event Planners Graysson Kijo pamoja na Buya Ernest(19)mshindi wa shindano hilo.
Wafanyakazi wa Events Planner wakiwa katika pozi na mshindi Buya Ernrst atakaye wakilisha Mkoa wa Manyara.