Quantcast
Viewing all articles
Browse latest Browse all 118117

MNARA WA KUMBUKUMBU YA MAHALA ALIPOWAKI KULALA MWALIMU NYERERE

Huu ni Mnara wa Kumbukumbu ya Mahala alipowahi kulala Marehemu Baba wa Taifa,Hayati Mwalim Julius Nyerere wakati akiwa katika harakati za kutafuta uhuru wa nchini yetu hii mnamo mwaka 1955.Mnara huu upo katika Kijiji cha Ruhegu,Wilayani Namtumbo Mkoani Ruvuma

Viewing all articles
Browse latest Browse all 118117

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>