Airtel na UNESCO kuzindua radio jamii Karagwe Bukoba
Airtel na UNESCO kuzindua radio jamii Karagwe Bukoba· Mawasiliano ya radio yaboreshwa kufikia vijiji vingi zaida kulinganishwa na awali· Zaidi ya radio 8 kuzindua chini ya mradi...
View ArticleAnwani za Makazi na Misimbo ya posta kuharakisha maendeleo-Wizara
Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia imesema mpango wa utekelezaji uanzishaji wa Anwani za Makazi na Misimbo ya posta itasaidia kurahisisha mawaslimo na kuchochea maendeleo nchini.Naibu Katibu...
View ArticleCPA Tawi la Tanzania yaanza maandalizi mkutano wa mwakani
Mwenyekiti wa Chama cha Mabunge ya nchi wanachama wa Jumuiya ya Madola (CPA) Tawi la Tanzania Mhe. Mussa Zungu Azzan akifungua kikao cha Kamati tandaji pamoja na Sekretarieti jijini Dar es Salaam leo...
View Articlesemina ya matumizi ya anwani za makazi na misimbo ya posta.
Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia,Profesa Patrick Makungu akifungua semina ya siku moja ya Wakurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu wa Wizara zote zilizoko jijini Dar es...
View Articlemkataba wa uzalishaji umeme kwa mradi wa Kinyerezi III wasainiwa
Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo akifafanua jambo wakati wa hafla ya uwekaji saini mkataba wa makubaliano kuhusu uzalishaji umeme kwa mradi wa Kinyerezi III wenye uwezo wa...
View ArticleJK AFUTURU NA YATIMA IKULU JIJINI DAR
Baadhi ya watoto yatima wakipakuliwa futari iliyoandaliwa na Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam Jumatatu jioniWtoto yatima wakishiriki katika futari iliyoandaliwa na Rais...
View ArticleBasi la Abiria lapiga Mweleka Wilayani Namtumbo, Dereva Aumia na kukimbizwa...
Basi la abiria mali ya Kampuni ya Safari, lenye Nambari za Usajili T 9957 BZT likiwa limelala ubavu baada ya Dereva wake kushindwa maarifa wakati akikata kona kali, katika Kijiji cha Ngumbalu, Wilayani...
View ArticleMAKAMU WA RAIS AZUNGUMZA NA WATANZANIA WAISHIO ABUJA NIGERIA, AONDOKA LEO...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na baadhi ya Watanzani ya waishio mjini Abuja, wakati alipokutana nao katika Makazi ya Ubalozi wa Tanzania...
View ArticleUZA , NUNUA, TANGAZA @ DEAL MOJA BUREEEE!!!
Fursa ingine kwa watu wote WANUNUZI NA WAUZAJI DUNIANINi website ya kisasa yenye sifa za kimataifa www.dealmoja.com Yaap ni DEAL MOJA katika wavuti hii kuna mengi waeza fanya bila GHARAMA YOYOTE·...
View ArticleWajumbe wa mabaraza ya Katiba kilwa nusra kuzichapa katika kuchangia Rasimu...
Na Abdulaziz,Lindi. Wajumbe kutoka kata 21 za wilaya kilwa mkoani Lindi waliounda barazala katiba la wilaya nusura wazipige kufuatia mvutano kuhusu nafsi yawaziri mkuu kwenye serikali ya shirikisho...
View Articlewashindi wa wiki wa promosheni ya Airtel Yatosha wapatikana.
Meneja Uhusiano wa Airtel Bw, Jackson Mmbando akionyesha waandishi wa Habari (hawapo pichani) jinsi droo ya Airtel Yatosha inavyochagua mshindi wa kila siku wakati wa droo ya kwanza ya promosheni...
View ArticleBenki ya NBC yazindua kampeni ya Mikopo ya Wafanyakazi Waajiriwa.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Mizinga Melu (wa tatu kushoto), akizungumza wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya Mikopo ya Wafanyakazi Waajiriwa ya benki hiyo, jijini Dar es Salaam leo. Wengine...
View ArticleWANANCHI RORYA, SUMBAWANGA, MUHEZA NA NJOMBE WATOA MAONI RASIMU YA KATIBA
Mjumbe wa Baraza la Katiba la Wilaya ya Rorya Bi. Pendo Bernard, akitoa maoni yake kuhusu Katiba Mpya iliyowasilishwa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba Wilayani hapo Julai 14, 2013.Mjumbe wa Baraza la...
View ArticleBENKI YA CRDB YAANZA ZOEZI LA KUPIMA AFYA ZA WAFANYAKAZI WAKE
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk Charles Kimei akizungumza wakati wa uzinduzi wa zoezi la upimaji afya kwa wafanyakazi wa benki hiyo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Naibu Mkurugenzi wa Benki ya...
View ArticleIGP MWEMA akutana na Naibu Kamishina wa kikosi cha ulinzi wa amani katika...
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Said Mwema, akimkabidhi zawadi yenye nembo ya Jeshi Polisi Tanzania, Naibu Kamishina wa UNAMID Dkt. Syed Kaleem Imam, kutoka nchini Sudan, jimbo la Darfur,...
View ArticleMagavana kutoka nchi za Afrika Mashariki na nchi majirani zao wakutana jijini...
Mahmoud Ahmad Arusha. Magavana kutoka nchi za Afrika Mashariki na nchi majirani zao wamekutana jijini hapa katika mkutano wao wa 13 pamoja na mengine kujadili mtangamano wa kuwa na sarafu moja ya bara...
View ArticleYUNA NA UNESCO YAKUSANYA MAONI YA WANANCHI WA KARAGWE KUHUSU UTEKELEZAJI WA...
Mshauri wa Radio Jamii kutoka UNESCO Rose Haji Mwalimu akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Karagwe Dary Lwegasira alipomtembelea ofisini kwake mjini Kayanga mkoani Kagera kutambulisha mradi wa Amani na...
View ArticleTAARIFA YA MSIBA JAJI (MSTAAFU) BUXTON DAVID CHIPETA.
MAREHEMU JAJI (MSTAAFU) BUXTON DAVID CHIPETA.Kwa niaba ya Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na Wafanyakazi wote wa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA), Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa...
View Article