BAADA YA KUONA SUALA LA KUSAFIRISHA VIFURUSHI KWENDA NAIROBI NA DAR LIMEKUWA GUMU KWA WATANZANIA NA WAKENYA WAISHIO UK, WAZEE WA KAZI WALIAMUA KULITAFUTIA UFUMBUZI AMBAPO MZEE WA KAZI CHRIS LUKOSI ALISAFIRI KWENDA NAIROBI NA DAR ES SALAAM MWISHO MWA MWEZI WA SITA KUHAKIKISHA KUWA SHUGHULIA ZA MIZIGO ZINABORESHWA NA KUHAKIKISHA WANASHIRIKIANA NA MAWAKALA AMBAO WAKO KIKAZI ZAIDI.
KUANZIA SASA MIZIGO YOTE YA SERENGETI ITAKUWA INASAFIRISHWA NA KENYA AIRWAYS ILI ISICHELEWE NJIANI
PICHANI MZEE WA KAZI ALIPEWA NAFASI YA KUSAFIRI NA MZIGO KUTOKA LONDON MPAKA DAR ES SALAAM ILI KUJIONEA MWENYEWE JINSI HUDUMA ZA MZIGO ZINAVYOKWENDA MSWANO NA BILA KWIKWI