Mdau Pastor Uwezo Mwakitalima ambaye pia ni mwanafunzi wa shahada ya kwanza ya Ualimu, akiwa na mai waifu wake Lillian baada ya kumeremeta hivi karibuni katika kanisa la Azania Front jijini Dar es salaam na baadaye kukamilisha mambo kwa mnuso wa nguvu katika ukumbi wa Msimbazi center. Picha na Michael Angulile
↧