$ 0 0 Na Swahili TVMhe. Balozi Liberata Mulamula ametoa kauli ya kuwaunganisha watanzania wote, amesema kamwe hatoruhusu tofauti na makundi katika jamii za kitanzania. Ameyazungumza hayo katika papo kwa hapo ya Swahili TV.