MBEYA MANAGEMENT CONSULTANTS CERTIFIED ACCOUNTANTS IN PUBLIC PRACTICE
Tunatangaza nafasi ya kazi ya mwasibu aliyehitimu chuo kikuu na kupata shahada au stashahada ya Accountancy
Vigezo:
Awe na GPA isiyopungua 3.2 points
Awe na Advance Diploma in Accountancy or B.Com in accountancy or Bachelor of Accountancy or Bachelor of Accountancy and Finance.
Mwombaji atume application letter, CV, Pamoja na attachment za vyeti copy kwenda kwenye email address: swayzlight@yahoo.comor gstanzanie@yahoo.com
Mwisho wa maombi ni tarehe 2/08/2013.