WANAHABARI WALIOSHINDA TUZO ZA HABARI ZA TANAPA WAENDELEA NA ZIARA YA...
Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini Mheshimiwa Radhia Msuya akizungumza na wanahabari walioshinda Tuzo za Habari za TANAPA waliomtembelea ofisini kwake jijini Pretoria. Wanahabari walioshinda Tuzo...
View ArticleMama Kikwete awataka waislamu kutumia kipindi cha mfungo wa Ramadhani kusali...
Na Anna Nkinda – Maelezo, LindiWaislamu nchini wametakiwa kutumia kipindi cha mfungo wa Ramadhani kuomba na kutubu dhambi zao pia kuwasaidia watu wasiojiweza ili wapate thawabu kutoka kwa Mwenyezi...
View ArticleEAC Bra Survey team in Uganda
The EAC Brand 2013 survey team embarked on a week-long mission to Uganda on how citizens perceive the regional integration activities, programme and how much they understand of the Community. The...
View ArticleMKAZI WA IRINGA ACHUKUA KITITA CHAKE KUPITIA PROMOSHENI YA CHEKA PLUS YA VODACOM
Meneja wa Vodashop Mlimani City jijini Dar es Salaam Bi.Rosemary Maro(kulia)akimuelekeza jinsi ya kutoa Pesa,Anatori E.Chogolo-mkazi wa Iringa,(katikati)ambae ni mshindi kati ya washindi 5...
View ArticlePROGRAMU YA FUTARI LEICESTER UK
Ndugu zetu katika iman, kwanza twamshukuru Allah kwa kutuwezesha kukamilisha hatua za awali za mkakati wa kununua jengo letu wenyewe. Shukrani nyingi pia zikufikieni kwa michango yenu ya kila aina....
View ArticleTAIFA STARS YAPANGA KUSHAMBULIA MWANZO MWISHO DHIDI YA UGANDA
Kocha wa Taifa Stars, Kim Poulsen aksisitiza jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari wa Tanzania, mjini Kampala jana kuhusu mechi ya leo ya kufuzu kucheza michuano ya CHAN dhidi ya Uganda Cranes...
View ArticleTBL YAKABIDHI KISIMA CHA SH. MILIONI 28 KIJIJI CHA ISNURA, MBARALI, MKOANI MBEYA
Mkuu wa Wilaya ya Mbarali Gulam Kiffu kulia na Meneja kampuni ya bia (TBL) Nicolaus Kanyamala wakizindua kisima cha kijiji cha IsnuraMkuu wa Wilaya ya Mbarali Gulam Kiffu akiwashukuru TBL kwa kusaidia...
View ArticleMAFUNZO YA AWALI YA ASKARI POLISI NA UHAMIAJI YAFUNGWA RASMI LEO
WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI MH, Dr. EMMANUEL NCHIMBI AKIKAGUA GWARIDE LA WAHITIMU WA MAFUNZO YA AWALI YA ASKARI POLISI WAKATI WA SHEREHE ZA KUFUNGA MAFUNZO HAYO JANA KATIKA CHUO CHA POLISI MOSHI...
View ArticleTAARIFA YA MSIBA
Familia ya Mzee Ndalu inasikitika kutangaza kifo cha kijana wao mpendwa Erick Meshack Ndalu kilichotokea nyumbani kwao Tabata tarehe 24/7/2013 saa 5 usiku, habari ziwafikie ndugu, jamaa na marafiki...
View ArticleCASTLE na FC Barcelona wasaini mkataba wa kihistoria
wawakilishi wa SABMiller kutoka nchi mbalimbali barani Afrika wakiwa nje ya ofisi za timu ya FC Barcelona huko Catalonia Hispania leo hii.Makamu wa Rais wa FC Barcelona,Bw. Javier Faus akimkabidhi jezi...
View ArticleKAULI YA JESHI LA MAGEREZA JUU YA MAAFISA WAKE WANNE WALIOKAMATWA NA NYARA ZA...
Jeshi la Magereza Tanzania Bara linapenda kuufahamisha Umma kwamba mnamo tarehe 23 Julai, 2013 Maafisa wanne ambao ni Mrakibu Msaidizi wa Magereza Joseph Kimaro, Sajenti Ketto Ramadhani, Koplo...
View ArticleMkutano wa CPA Barani Afrika wamchagua Spika Makinda kuwa Rais wa Afrika na...
Spika wa Bunge wa Bunge la Tanzania,Mhe Anne Makinda akihutubia kushukuru wajumbe Mkutano wa CPA Barani Afrika kwa kumchagua kuwa Rais wa CPA Afrika. Mhe Spika Anne Makinda akipongezwa na Mwenyekiti wa...
View ArticleOBITUARY
Saidi Ally Masimango: the unsung hero It was the morning of Monday July 22, 2013 when I received a brief but chilling email from a close relative. The relative wrote and I quote verbatim:"Msiba! Saidi...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL APOKEA MAANDAMANO YA MAADHIMISHO YA MIAKA 20 YA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi cheti, mmoja kati ya wachangiaji bora wa kuendeleza Jumuiya ya Mtandao wa wakulima wa Tanzania (MVUWATA)...
View ArticleCAG AHUDHURIA KIKAO CHA 67 CHA BODI YA UKAGUZI YA UMOJA WA MATAIFA (UNBoA)
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Bw. Ludovick S. L. Utouh (Kushoto) akisalimiana na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Bw. Ban Ki-Moon baada ya Mkutano wa 67 wa Bodi ya Ukaguzi wa...
View ArticleMUSOMA TEXTILE MILLS (T) Ltd EMERGED ‘SOLID WASTE MANAGEMENT WINNER 2013’
The cleaner Production Centre of Tanzania (CPCT) dealing with Resource Efficiency and Cleaner Production (RECP) has conducted training on RECP to all manufacturing industries in Tanzania.The training...
View ArticleNaibu waziri wa maji afanya ziara katika miradi ya maji Moshi vijijini
Naibu waziri wa maji Dk Bilinith Mahenge akitia saini katika kitabu cha wageni katika ofisi ya kata ya Mbokomu wakati akifanya ziara ya kukagua miradi ya maji katika wilaya ya Moshi vijijini. Naibu...
View Article