WANANCHI WA MJI WA BABATI MKOANI MANYARA WATOA MAONI KUHUSU RASIMU YA KATIBA
Mjumbe wa Baraza la Katiba la Halmshauri ya Mji wa Babati Mjini Mkoani Manyara, Bw. Janes Dabare (kulia) akichangia hoja katika eneo la mihimili ya Dola katika Rasimu ya Katiba Mpya iliyotolewa na Tume...
View ArticleKONGAMANO LA UONGOZI LAFANA
Kongamano la Uongozi linaloandaliwa na Taasisi ya Uongozi (Uongozi Institute) limefanyika leo katika hoteli ya Serena na kuhudhuriwa na Jumla ya washiriki wapatao 150, ambao ni viongozi mbalimbali wa...
View ArticleTAIFA STARS YATOLEWA MICHUANO YA CHAN,YACHAPWA BAO 3-1 NA UGANDA LEO
kikosi cha timu ya taifa 'Taifa Stars' kilichokipiga leo na timu ya taifa ya Uganda.kikosi cha timu ya taifa ya Uganda 'Uganda Cranes' Mchezaji wa timu ya Taifa "Taifa Stars" Aggrey Morris (katikati)...
View ArticleWanaouza pembejeo za ruzuku kwa bei ya juu kuchukuliwa hatua - mkuu wa mkoa...
Na Abdulaziz video,lindiMkuu wa mkoa wa lindi Ludovick Mwananzila ameuagiza uongozi wa wilaya ya ruangwa kuwachukulia hatua kali watendaji wa chama cha Msingi na ushirika cha Lucheregwa kwa tuhuma za...
View ArticleMDAU SIMALENGA NA NEEMA WAMEREMETA LEO JIJINI DAR
Kambi ya Wasanii wa Filamu na Maigizo pamoja na Kambi ya Waanahabari Makapela Tanzania imepata pigo kubwa baada ya Mwanachama wake Nguli, Simon Simalenga kuamua kuiaga kambi hiyo na kuingia rasmi...
View ArticleUTEKELEZAJI WA DIRA YA TAIFA YA MAENDELEO NI JUKUMU LA KILA MTANZANIA - TUME...
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango, Bi. Joyce Mkinga (Kulia) akizungumza na wanahabari (hawapo pichani) alipokutana nao kuzungumzia hatua iliyofikiwa katika...
View ArticleRAIS KIKWETE WILAYANI NGARA MKOANI KAGERA
Rais Kikwete akiwapungia mkono wakazi wa kijiji cha Rulenge,Wilayani Ngara wakati akiwasili kwenye kiwanja cha kijiji hicho tayari kwa kuzungumza nao ikiwa ni sehemu ya Ziara yake ya Kikazi Mkoani...
View ArticleUZINDUZI WA UJENZI WA BARABARA YA KAGOMA-LUSAHUNGA WILAYANI BIHARAMULO
Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha na mawaziri anaoongozana nao pamoja na viongozi wa mkoa wa Kagera wakati wa sherehe za uwekaji jiwe la msingi kwa ujenzi kwa kiwango cha lami wa barabara ya...
View ArticleArticle 16
SERENGETI FREIGHT FORWARDERS LTDWAZEE WA KAZITAARIFA YA ONGEZEKO LA BEIMTATUWIA RADHI WATEJA WETU, IMEBIDI TUONGEZE BEI KIDOGO ZA NDEGEHII IMETOKANA NA ONGEZEKO LA BEI YA MAFUTA YA NDEGEAIR CARGO TO...
View ArticleAISHA SURURU FONDITION YATOA MSAADA WA MAGODORO KWA WANAFUNZI WALIOPO MSIKITI...
Mkurugenzi Mtendaji wa Aisha Sururu Fondition, Bi. Aisha Sururu (kulia) akimkabizi mmoja wa vijana wanaojisomea katika kambi ya msikiti wa Idrisa, Muhsin Juma magodoro aliyotoa kwa ajili ya vijana hawo...
View ArticleCHADEMA WASHINGTON DC, MAREKANI YAPATA UONGOZI MPYA
Kikao cha Viongozi wa Tawi la Chadema Washington DC, Marekani, tarehe 27 July 2013 kimemteua Ndugu Kalley Ammy Pandukizi kuwa Mwenyekiti wa Tawi kuchukua nafasi ya Ndugu Cosmas Wambura. Awali Ndugu...
View ArticleMama Kikwete awataka wakazi wa mkoa wa Lindi kuishi maisha ya upendo na...
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akizungumza na baadhi ya wananchi wa Lindi aliowaalika kwenye futari mara baada ya kuwafuturisha nyumbani kwake,Lindi Mjini jana. Mke wa Rais Mama Salma Kkwete...
View ArticleZAIDI YA WANAWAKE 7500 WANUFAIKA NA "MWEI" MKOANI MOROGORO
Baadhi ya wanawake wajasiriamali wadogowadogo wa Tarafa ya Matombo Morogoro vijijini wakipatiwa elimu na wafanyakazi wa Vodacom Tanzania hawapo pichani,kabla ya kupatiwa mikopo yao ya pesa isiyokuwa na...
View ArticleUmoja wa Watanzania Ujerumani (UTU) yaiwakilisha vyema Tanzania katika...
Umoja wa Watanzania ujerumani(UTU) kwa kasi kubwa inaiwakilisha vema Tanzania huko Ughaibuni,kwa kutumia nafasi zote wanazopewa nchi Ujerumani, ni juzi kati tu Umoja huo ulishiriki katika maonyesho ya...
View ArticleRAIS KIKWETE AENDELEA NA ZIARA YAKE MKOANI KAGERA
Rais Jakaya Kikwete akikata utepe kuzindua rasmi ujenzi wa barabara ya Kagoma-Lusahunga katika wilayani Biharamulo. Rais Kikwete akipiga picha ya kumbukumbu na wananchi wa Ngara baada ya kuzindua...
View ArticleMTUHUMIWA WA WIZI ANUSURIKA KUFA KWA KIPIGO CHA WANANCHI KAWE
Akisulubiwa kwa bakora na mmoja wa watu wenye hasira.MTU mmoja aliyetuhumiwa kuwa ni mwizi amenusurika kufa baada ya kundi la wananchi kumpa kipigo cha maana, leo mchana katika eneo la Mbezi-Darajani,...
View ArticleJK azindua Mradi wa Ujenzi wa Barabara Kyaka-Bugene,Wilayani Karagwe
Rais Jakaya Kikwete akifunua kitambaa cha jiwe la msingi ikiwa ni ishara ya uzinduzi rasmi wa Mradi wa Ujenzi wa Barabara Kyaka-Bugene,Wilaya ya Karagwe,Mkoani Kagera.Rais Jakaya Kikwete akiwa kwenye...
View ArticleWADAU MANENO MBEGU NA QUEEN SENDIGA WAMEREMETA
Bwana Harusi Maneno Mbegu akivishwa pete na mwandani wake, Queen Sendiga walipokuwa wanafunga ndoa hivi karibuni katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Dar es Salaam. Maneno...
View Article