Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 117117

AISHA SURURU FONDITION YATOA MSAADA WA MAGODORO KWA WANAFUNZI WALIOPO MSIKITI WA IDRISA KARIAKOO,JIJINI DAR

$
0
0
Mkurugenzi Mtendaji wa Aisha Sururu Fondition, Bi. Aisha Sururu (kulia) akimkabizi mmoja wa vijana wanaojisomea katika kambi ya msikiti wa Idrisa, Muhsin Juma magodoro aliyotoa kwa ajili ya vijana hawo kulalia,pindi wamalizapo masomo yao.

Mkurugenzi Mtendaji wa Aisha Sururu Fondition, Aisha Sururu kulia akimkabizi mmoja wa vijana wanaojisomea katika kambi ya msikiti wa Idrisa, Muhsin Juma mashuka pamoja na magodoro aliyotoa kwa ajili ya vijana hawo kulalia.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 117117

Trending Articles