Bwana Harusi Maneno Mbegu akivishwa pete na mwandani wake, Queen Sendiga walipokuwa wanafunga ndoa hivi karibuni katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Dar es Salaam.
Maneno Mbegu akiapa mbele Ofisa Tawala Wilaya ya Kinondoni
Queen akila kiapo
Mbegu akitia saini
Queen akitia saini