Rais Jakaya Kikwete akifunua kitambaa cha jiwe la msingi ikiwa ni ishara ya uzinduzi rasmi wa Mradi wa Ujenzi wa Barabara Kyaka-Bugene,Wilaya ya Karagwe,Mkoani Kagera.
Rais Jakaya Kikwete akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi mbalimbali pamoja na baadhi ya watendaji katika mradi wa Ujenzi wa Barabara Kyaka-Bugene,Wilaya ya Karagwe,Mkoani Kagera mara baara ya kuuzindua.↧