WANAMBWEWE WAKUTANA NA MBUNGE WAO LEO
MBUNGE wa Chalinze, wilaya ya Bagamoyo mkoa wa Pwani, Saidi Mwanamdogo, akizungumza na wanachama wa Mfuko wa Maendeleo ya Wanambwewe waishio Dar es Salaam (MNDF), leo katika ukumbi wa Shule ya Msingi...
View ArticleArticle 4
Short Course Announcement – September 2013STATISTICAL ANALYSIS USING MS EXCEL 2010Duration: 4 daysDates: September 17 – 20, 2013Price: 300,000 TZS (excluding lunch)Place: School of Social Sciences (MRL...
View ArticleMakamu wa Rais,Dk Bilal azindua ujenzi wa jengo la Kituo cha Habari na...
Makamu wa Rais wa Tanzania, Dk.Mohamed Gharib Bilal akifungua pazia kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi kwa ujenzi wa jengo la Kituo cha Habari na Mawasiliano cha Shule ya Msingi Kisiwandui mjini...
View ArticleKONGAMANO LA AMANI CHUO KIKUU DAR LAFANYIKA, WAZIRI NCHIMBI AJIBU HOJA ZA...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi (kushoto) akiandika maelezo ya Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk Wilbrod Slaa wakati alipokuwa anachangia mada ya...
View ArticleIBADA YA RAMADHAN: LAYLATUL QADIR (USIKU WA CHEO)
Asalaam Alaykum Warahmatu llahi Wabarakatu Ama Baada ya Salamu naomba toa Shukran zangu za dhati kwako Kaka Michuzi na Timu Nzima ya Blog ya Jamii kwa kutuwekea Ujumbe huu Pili naomba Niwatakie kheri...
View ArticleBondia Iddy Kipandu na Bahati Mwafyela kuzichapa idd pili jijini dar
kocha kwame mkuluma kulia akimwelekeza Bondia Iddy Kipandu 'Iddy Bonge' jinsi ya kutupa makonde mazito mazito.Na SUPER D Bondia Iddy Kipandu 'Iddy Bonge' yupo kambini kwa ajili ya kupambana na bondia...
View Articleintroducing libeneke la tabia nchi
Blogu yako ya www.tabianchi.blogspot.com inayotoa habari za usafiri wa anga, mazingira, maliasili na utalii, inakuletea kampeni ya ‘Share your experince’.Ambapo wadau, watu binafsi na makampuni ya...
View Articlebosi wa TIC akutana na afisa wa Dangote jijini Dar
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), Bi. Juliet Kairuki (kushoto) akimsikiliza kwa makini mmoja wa maafisa wa juu toka muungano wa makampuni ya Dangote, Bw. DVG Edwin mwishoni mwa...
View ArticleTANZIA
Bw. Samson Kamalamo anasikitika kutangaza kifo cha Baba yake Mzazi Bw. Samwel Bulimbe Kamalamo kilichotokea Julai 27, 2013 jijini Dar es Salaam. Mipango ya Mazishi inafanyika nyumbani kwa marehemu...
View ArticleJK AHITIMISHA ZIARA YAKE MKOANI KAGERA LEO
Rais Jakaya Mrisho kikwete akiongea mchana huu na viongozi mbalimbali wa kitaifa na wa mkoa wa Kagera wakati wa kikao cha majumuisho baada ya kuhitimisha kwa mafanikio makubwa ziara yake ya kikazi ya...
View ArticleUWAKILISHI WA KUDUMU NEW YORK ULIVYO MUAGA BALOZI MERO
Uwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, mwishoni mwa wiki uliandaa hafla fupi ya kumuaga Afisa mwenza Bw. Modest Mero na Familia yake, Bw. Mero aliteuliwa hivi...
View ArticleWAZIRI MKUU WA THAILAND Yingluck Shinawatra KUTUA DAR KESHO
Ndugu Wananchi wa Mkoa wa Dar es Salaam,Napenda nichukue fursa hii kuwajulisha rasmi kwamba Nchi yetu imepata heshima ya kutembelewa na Waziri Mkuu wa Thailand ambaye atawasili Nchini tarehe...
View ArticleWafanyakazi wa Benki ya NBC watembelea kituo cha watoto yatima na kuwakabidhi...
Wafanyakazi wa Benki ya NBC kitengo cha operesheni, wakipozi kwa picha na watoto wanaolelewa katika kituo cha Ijango Zaidia Orphanage cha Sinza walipokwenda kupeleka msaada wa vyakula, sabuni, mafuta...
View ArticleStatement: Disqualification of Nando from Big Brother The Chase
After breaking the rules relating to violence and provocation, tonight (Sunday July 28) saw Big Brother The Chase housemate Nando disqualified from the 91 day reality show. This season Big Brother has...
View ArticleMEYA WA ILALA KUPITIA MDAU AKABIDHI VIFAA KWA AL - MADRASSATUL MUNAUWARATUL...
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala Jerry Silaa akizungumza na uongozi wa Al Madrassatul Munauwaratul Islamiya iliyopo Msasani Bonde la Mpunga Ofisini kwake leo jijini Dar es Salaam wakati wa hafla fupi...
View ArticleUjumbe wa Bandari ya Singapore(PSA) watembelea TPA
Ujumbe wa Bandari ya Singapore "Port Authority of Singapore(PSA)" unatembelea Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), pichani ni wakuu wa idara mbalimbali za TPA na viongozi wa PSA wakiwa katika ziara ya...
View ArticleKAMISHNA JENERALI WA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI AWAVISHA VYEO MAAFISA WAKE,...
Naibu Kamishna wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Luteni Kanali Lidwino Saimon Mgumba (kushoto) akimvisha cheo Kaimu Kamanda wa Mkoa wa Iringa, Mrakibu Msaidizi wa jeshi hilo, Kennedy Komba katika hafla...
View ArticleKIJIWE CHA UGHAIBUNI KESHO JUMANNE JULY 30, 2013
Wanakijiwe kutoka kushoto ni Dotto Mwallongo, David Ndunguru na Jabir Jongo wakikutayarishia kipindi chako ukipendacho cha KIJIWE CHA UGHAIBUNI kitakachorushwa kesho Jumanne. Wanakijiwe kutoka...
View Articlejk awataka uhamiaji kuacha uzembe
Na Angela Sebastian, Bukoba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete amesema udhaifu na uzembe unaoendelea kufanywa na watendaji wa Idara ya Uhamiaji umesababisha nchi kuwa na lindi...
View Articlegongo lita 600 yakamatwa mkoani Dodoma
Jeshi la Polisi mkoa wa Dodoma limefanikiwa kukamata lita mia sita (600) za pombe haramu ya Gongo, mitambo 11 pamoja na mapipa 134 ya (molasisi) ambayo ni mali ghafi inayotumika kutengenezea pombe...
View Article