Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 117375 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUMBILAMOTO AZUNGUMZA NA WAKAZI WA KITUNDA NYANTIRA

 Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala , Omary Kumbilamoto akizungumza na wakazi wa Kitunda Nyantira   Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala , Omary Kumbilamoto akisalimiana na Mwenyekiti wa mtaa wa NyantiraNaibu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUTOKA VOA SWAHILI: Zulia Jekundu S1 Ep 113: Ariana Grande, Remy Ma na Nicki...

Zulia Jekundu ni kipindi cha televisheni cha kila wiki kinachotayarishwa na kutangazwa na Mkamiti Kibayasi toka Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya America (VOA).Kipindi hiki hukuletea habari mbalimbali za...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHEZENI MPIRA ACHENI KUKAA VIJIWENI-KATIBU TAWALA IRINGA

Na Fredy Mgunda,Iringa. MASHINDANO ya kombe Mbuzi Cup yatafikia tamati tarehe 30 mwezi wa tatu kwa kuzikutanisha timu za Mkwawa Rangers na Waandishi wa habari mkoa wa Iringa na fainal hiyo itachezwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANAUME WAASWA KUACHA TABIA YA KUWANYANYASA WANAWAKE NA KUWAACHIA MAJUKUMU YA...

Na Rhoda Ezekiel KigomaKATIKA kuelekea siku ya Wanawake Duniani, Baafha ya Wanawake Mkoani Kigoma Wamewaomba Wanaume Mkoani humo kuacha tabia ya kuwanyanyasa wanawake kwa kuwaachia majukumu ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO JUMANNE MACHI 7,2017

KUSOMA ZAIDI MAGAZETI YA LEO BOFYA HAPA

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUELEKEA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI, WADAU WATAKIWA KUONGEZA FURSA ZA UCHUMI...

Jovina Bujulu- MAELEZO.Kila mwaka ifikapo Machi 8 kila mwaka, wanawake duniani kote  huadhimisha siku yao ambapo hujitathmini kupitia shughuli mbalimbali za maendeleo walizofanya, changamoto zilizopo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZIA

Inna lilahi wainna ilyhi raajiun, Napenda kuwapa taarifa za kifo cha Bi Nuru Bint Daudi (Mama yake na Yusuf Kikwete) kilichotokea usiku wa kuamkia leo hospitali ya Taifa Muhimbili. Taarifa zaidi za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI DKT. TIZEBA AWAONYA WENYE VIWANDA VYA CHAI KUTOWANYONYA WAKULIMA...

Wadau wa zao la chai nchini wakiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Amina Masenza (mwenye hijabu ) aliyemwakilisha Waziri wa Kilimo Mifugo na Uvuvi, Dkt. Charles Tizeba katika ufunguzi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NEWS ALERT: KITUO CHA MAFUTA CHATEKETEA KWA MOTO HUKO TEGETA JIJINI DAR LEO

Kituo cha mafuta kilichopo eneo la Tegeta kikionekana kuteketea kwa moto asubuhi hii, huku chanzo kikidaiwa kuwa ni gari lililokuwa likishusha shehena ya mafuta kituoni hapo kushika moto. inaelezwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Serikali na familia zavutana juu ya mazishi ya Kiongozi wa Upinzani nchini DR...

Mwili wa kiongozi wa upinzani nchini DR Congo, Etienne Tshisekedi hautarudishwa nyumbani wiki hii kama ilivyopangwa hapo awali.Familia ya Tshisekedi aliyefariki mwezi uliopita nchini Ubelgiji akiwa na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ARSENAL KUVUNJA UTEJA KWA BAYERN LEO??

 Mechi za pili za raundi ya mtoano kwa timu 16 za Ligi ya Ulaya (Uefa Champions League) zinatarajiwa kuanza tena kupigwa usiku wa leo Jumanne Machi 7 kwa mechi mbili, ambapo huko katika dimba la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Amri mpya ya Trump yapokelewa kwa mashaka

Rais wa Marekani Donald Trump amesaini amri mpya inayozuia watu kutoka mataifa 6 yenye Waislamu wengi kuingia nchini Marekani, ikiwa ni marekebisho ya amri ya kwanza ambayo ilikwamishwa na maamuzi ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUKARIBISHA MAOMBI MAPYA YA LESENI ZA UCHIMBAJI MDOGO WA MADINI KATIKA MIKOA...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MAHIGA AHUDHURIA MAOMBI YA TAIFA YALIYOENDESHWA NA BILL WINSTON LEO...

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii MAOMBI kwa ajili ya Taifa yamefanyika leo Jijini Dar es salaam na kuhudhuriwa na Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Afrika Mashariki Mhe....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANAWAKE WAZIDI KUMIMINIKA KUFUNGUA AKAUNTI YA MALKIA CRDB

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.Muhamasishaji wa akaunti ya Malkia katika wiki ya wanwake Duniani kutoka benki ya CRDB tawi la Water Front, Mary Gekura amesema kuwa mpaka kufikia Machi 06 zaidi ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUTANO WA JUMUIYA YA NCHI ZINAZOPAKANA NA BAHARI YA HINDI(IORA) NCHINI...

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Rais wa Indonesia Joko Widodo,ambae ni Mwenyekiti wa Mkutano wa Kwanza wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kesi ya wafanyakazi wa Manji sasa Machi 24.

Na Karama Kenyunko Blogu ya jamii.WAFANYAKAZI 16 wa Kampuni ya Quality Group, inayomilikiwa na Yusuph Manji  wanaokabiliwa na tuhuma tano, ikiwemo ya kutaka kutoroka nchini sasa kusomewa maelezo ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAADHIMISHO YA GIRL GUIDES TEMEKE YA KUMUENZI MWASISI WA TGGA DUNIANI

Baadhi ya wanafunzi wa Shule za Msingi na Sekondari wakiwa katika matembezi ya Maadhimisho ya Chama Cha Girl Guides Tanzania (TGGA) ya kumuenzi mwanzilishi wa chama hicho Duniami, Roden Barden Powell...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKONDA MGENI RASMI SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

Na. Immaculate Makilika- MAELEZOMkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani yanayotarajiwa kufanyika Machi 8 Mwaka huu,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MADAKTARI WATAKIWA KUWA TAYARI KUTOA USHAHIDI MAHAKAMANI DHIDI YA VITENDO VYA...

Na Masanja Mabula -Pemba ..MADAKTARI kisiwani Pemba wametakiwa kuwa tayari kutoa ushahidi mahakamani juu ya vitendo vya udhalilishaji vinavyoendelea siku hadi siku dhidi ya wanawake watoto, ili...

View Article
Browsing all 117375 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>