Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 117380

NEWS ALERT: KITUO CHA MAFUTA CHATEKETEA KWA MOTO HUKO TEGETA JIJINI DAR LEO

$
0
0
Kituo cha mafuta kilichopo eneo la Tegeta kikionekana kuteketea kwa moto asubuhi hii, huku chanzo kikidaiwa kuwa ni gari lililokuwa likishusha shehena ya mafuta kituoni hapo kushika moto. inaelezwa kuwa Gari hilo limeteketea lote huku sehemu ya kituo hicho pia imeteketea. Kikosi cha zimamoto kipo eneo la tukio kukabiliana na janga hilo.
Sehemu ya Magari ya vikosi vya Zimamoto yakiwa tayari kukabiliana na tukio hilo.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 117380

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>