CRDB YAANZISHA AKAUNTI YA MALKIA KATIKA WIKI YA WANAWAKE DUNIANI
Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.Benki ya CRDB imedhamiria kuwainua wanawake kiuchumi kwa kuwawezesha kwa kufungua akaunti ya Malkia ambayo itakuwa ni yenye malengo yakinifu na manufaa kwa maendeleo...
View ArticleAHMADA SIMBA KUITWA KAMATI YA MASAA 72
Na Zainab Nyamka, Globu ya JamiiMWAMUZI wa mchezo baina ya Yanga na Ruvu Shooting Ahmada Simba anatarajiwa kuitwa kwenye kamati ya masaa 72 pindi pale atakapowasilisha barua yake ya utetezi kuhusiana...
View ArticleUjenzi wa mnara wa kuongoza ndege na jengo kubwa la mizigo waendelea jijini...
Ujenzi wa jengo la kuongozea ndege la Kiwanja cha ndege cha Mwanza, ukiendelea, ambapo unatarajiwa kukamilika baadaye mwaka huu. Mnara huu umeelezwa utakuwa na kiwango cha juu cha mawasiliano kwa nchi...
View ArticleWATUMISHI WA SERIKALI, WANANCHI WADAIWA KUSHIRIKIANA KULIMA BANGI NYASA...
Baadhi ya watumishi wa serikali wa wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma wamekuwa wakishirikiana na wananchi katika kilimo halamu cha zao la bangi wilayani humu. Mpaka sasa wananchi watano wakiwemo watumishi...
View ArticleBalozi Mahiga aongea na Mabalozi kuhusu kuhamia Dodoma
Mabalozi na wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa wa hapa nchini wametakiwa kuyahimiza makampuni ya nchi yao kutumia fursa za uwekezaji zinazotokana na zoezi la Serikali la kuhamia Dodoma. Kauli hiyo...
View ArticleMPINA AMTAKA MKANDARASI WA UJENZI WA UKUTA WA MTO PANGANI KUMALIZA KWA WAKATI
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Luhaga Mpina, amemtaka kandarasi anaeshughulika na ujenzi wa ukuta wa mto Pangani kampuni ya ( DEZO CIVIL CONSTRUCTION L.TD ) kukamilisha...
View ArticleWASANII WETU WAONE HAJA SASA YA KUTUMIA SANAA ZETU ZA FILAMU NA MUZIKI...
Waziri wa Habari,Sanaa,Utamaduni na Michezo,Nape Nnauye akizungumza na Waandishi wa habari mapema leo jijini Dar,kuhusiana na ujio wa mmoja wa Wasanii mahiri katika tasnia ya Filamu nchini...
View ArticleWAZIRI MKUU MAJALIWA AKUTANA NA KAMATI MAALUM YA KUPITIA MPANGO KABAMBE WA...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wajumbe Kamati Maalum ya Kupitia Mpango Kabambe wa Mji Mkuu wa Dodoma, Ofisini kwake mjini Dodoma Machi 6, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri).
View ArticleJUKWAA LA KIUCHUMI LA KIFALME NCHINI KUANZA KESHO JIJINI DAR
Na Zainab Nyamka, Globu ya JamiiJukwaa la kiuchumi la kifalme lililokuwa na malengo ya kutoa elimu kwa wananchi namna ya kutafuta na kuhifadhi fedha kwa ajili ya kujiinua kiuchumi linatarajiwa kuanza...
View ArticleRais atengua uteuzi wa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Elimu Kibaha
RAIS Dk. John Magufuli ametengua uteuzi wa Mtendaji Mkuu wa Shirika Elimu Kibaha Dkt. Crspin Mpemba ili kupisha uchunguzi wa tuhuma mbalimbali za kiutendaji zinazomkabili.Akizungumza na...
View ArticleYANGA TAYARI KUWAVAA KILUVYA KESHO KOMBE LA FA
Na Zainab Nyammka, Globu ya JamiiMsafara wa mabingwa wa watetezi wa ligi kuu Tanzania bara Yanga SC , umewasili salama jijini Dar es salaam ukitokea Morogoro walipokwenda kucheza na Mtibwa Sugar kwa...
View ArticlePombe za Viroba Zenye Thamani ya Shilingi Bilioni 2 Zakamatwa.
Mwanasheria toka Baraza la Taifa la Usimamizi wa Mazingira (NEMC) Bw. Manchare Heche akionesha kwa waandishi wa habari moja ya pombe kali aina ya Nguvu zilizokamatwa wakati wa operesheni inayoendelea...
View ArticleMTU MMOJA AUAWA AKIDHANIWA KUWA NI MWIZI WA PIKIPIKI JIJINI ARUSHA
Na.Vero Ignatus ,Arusha.Mtu moja ambaye jina lake hajijafahamika ameuawa na wananchi wenye hasira kali huko maeneo ya kwa Mrombo Jijini Arusha, akidhaniwa kuwa ni mwizi wa pikipiki baada ya mtu huyo...
View ArticleRAIS MAGUFULI AZINDUA UWANJA WA NDEGEVITA WA KAMBI YA NGERENGERE, MOROGORO
Rais na Amiri Jeshi Mkuu Dkt John Pombe Magufuli na Balozi wa China nchini Dkt wakifunua kitambaa kuashiria uzinduzi rasmi ya Uwanja wa kisasa wa ndegevita wa Ngerengere mkoani Morogoro leo Machi 6,...
View ArticleJafo atoa agizo hilo jana alipokuwa akikagua mradi huo ambao ujenzi wake...
Akizungumza katika ukaguzi huo, Jafo alisema utekelezaji wake umesuasua hali inayosababisha wananchi wa eneo hilo waendelee kupata adha ya maji na kuiagiza Halmashauri ya Chamwino kuzuia fedha ya...
View ArticleKONGAMANO LA WILDAF LA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI
Mkurugenzi wa Huduma za Kisheria wa Umma kutoka Wizara ya Katiba na Sheria, Justus Mulokozi akiwa kwenye picha ya pamoja na Mwenyekiti wa Shirika la Wanawake katika Sheria na Maendeleo Afrika (WILDAF)...
View ArticleHATUTAKUBALI TLS KUJIINGIZA KATIKA SIASA-MWAKYEMBE
Waziri wa Mambo ya Katiba na Sheria, Mhe. Dkt Harrisson Mwakyembe amesema Serikali haiwezi kuona Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kinajiingiza katika siasa na kama TLS wanataka hivyo, basi...
View ArticleBODI MPYA VETA YAAGIZWA KUANZA KUCHUKUA HATUA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA...
Na: Frank Shija, MAELEZO.BODI ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VET –Board) imeagizwa kuanza mara moja kutekeleza miradi ya maendeleo ambayo utekelezaji wake umekuwa ukisuasua kwa muda mrefu huku...
View ArticleRais Magufuli Atengua Uteuzi wa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Elimu Kibaha...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. John Pombe Magufuli ametengua rasmi nafasi ya Mtendaji Mkuu wa Shirika Elimu Kibaha Dkt. Crispin Mpemba ili kupisha uchunguzi wa tuhuma mbalimbali za...
View Article