$ 0 0 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wajumbe Kamati Maalum ya Kupitia Mpango Kabambe wa Mji Mkuu wa Dodoma, Ofisini kwake mjini Dodoma Machi 6, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri).