VIVUTIO VYA UTALII VYA TANGU ENZI ZA MKOLONI VILIVYOPO SHULE YA SEKONDARI YA...
Kamati ya Utalii ya Jiji la Mbeya, Waandishi wa Habari pamoja na Mwalimu mwenyeji Mwl Emmanuel Michael wakiwa eneo lilipo Bwawa la Kuogelea lililojengwa na Enzi za Mkoloni katika shule ya Sekondari...
View ArticleRais wa Gambia awarejesha kazini Askari waliojaribu kumpindua mtangulizi wake
Rais wa Gambia Adama Barrow ameamuru kurejeshwa katika jeshi askari sita walikua na hatia ya kuandaa mapinduzi dhidi ya mtangulizi wake Yahya Jammeh, chanzo cha kijeshi kimearifu."Uongozi wa...
View ArticleMAKALA YA SHERIA: NAMNA YA KUIOMBA MAHAKAMA IKUTAMBUE KAMA MZAZI WA MTOTO.
Na Bashir Yakub1.KUNYIMWA MTOTO.Wako watu ni wazazi na wamezaa lakini wameyimwa watoto. Zipo sababu nyingi zinazopelekea hili. Matukio ya namna hii hayawatokei sana wanawake na...
View ArticleAZANIA KUWAKILISHA AFRIKA MASHARIKI ENGLAND
Gwiji wa soka duniani kutoka klabu ya Liverpool nchini Uingereza, John Barnes (katikati) akiwasili pamoja na Mtendaji Mkuu wa Benki ya Standard Chartered nchini, Sanjay Rughani (kushoto) na kupokelewa...
View ArticleAhadi za Rais Dkt. Magufuli zatekelezwa katika ziara yake mikoa ya Kusini
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru Askofu Msaidizi wa Kanisa Katoliki la Watakatifu Wote Jimbo la Mtwara Fr. Patrick Mwaya mara baada ya mahubiri katika Kanisa...
View ArticleAustria yautaka Umoja wa Ulaya kuwapiga marufuku wanasiasa wa Uturuki kufanya...
Kansela wa Austria Christian Kern jana Jumapili Machi 05, 2017 alisema kuwa wanasiasa wa Uturuki wanapaswa kupigwa marufuku kufanya kampeni za kisiasa katika nchi zote za Umoja wa Ulaya.Kern ameliambia...
View ArticleWAZIRI MWIGULU NCHEMBA AFANYA MZUNGUMZO NA KIONGOZI WA KIKOSI CHA MIPAKA WA...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba (kushoto) akizungumza na Kiongozi wa Kikosi cha Mipaka kutoka nchini Uingereza, Richard Lloyd, wakati kiongozi huyo na ujumbe wake walipomtembelea...
View ArticleCDEA yawapiga msasa wabunifu wa mavazi na urembo wa Afrika Mashariki kwa...
Wabunifu wa mavazi na urembo kutoka nchi za Afrika Mashariki ikiwemo Tanzania na Uganda, wamepigwa msasa wa namna ya kuendesha na kukuza fani zao kwenye sekta za ubunifu na biashara mafunzo...
View ArticleMTAALAM WA SAIKOLOJIA NA MAHUSIANO WA CHUO KIKUU ATOA ELIMU KWA WAFANYAKAZI...
Mtaalam wa Masuala ya Saikolojia na Mahusiano wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,Dkt. Chris Mauki (kulia) akifafanua jambo kwa baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania,wakati alipokuwa akitoa elimu kwa...
View ArticleWANANCHI WANAOSAFIRI NJE YA NCHI WATAKIWA KUPATA CHANJO YA HOMA YA MANJANO
Wananchi wanaosafiri nje ya nchi wametakiwa kupata chanjo ya homa ya manjano pale wanapohitaji kusafiri hususan siku kumi kabla ya kusafiri na kupatiwa vitabu vipya.Rai hiyo imetolewa na Katibu...
View ArticleWASTAAFU SASA KUHAKIKIWA MAJUMBANI NA HOSPITALINI
Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa Serikali Bw.Mohamed Mtonga ametoa wito kwa wastaafu wanaolipwa Pensheni na Wizara ya Fedha na Mipango ambao ni wagonjwa na hawawezi kufika katika viwanja vya Karimjee na...
View ArticleTUNDU LISSU AACHIWA HURU NA KUKAMATWA TENA LEO JIJINI DAR
Na Karama Kenyunko, Globu ya jamii.Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuachia huru Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu baada upande wa Jamhuri kuomba kumuondolea kesi ya uchochezi.Hata hivyo mara...
View ArticleBOSI WA ZAMANI WA MSD APANDISHWA KIZIMBANI LEO
Na Karama Kenyunko, Globu ya jamiiAliyekuwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bohari Kuu ya Madawa Tanzania (MSD), Cosmas Aron Mwaifani amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kujibu tuhuma za...
View ArticleWAZIRI NAPE NNAUYE AFUNGA FAINALI ZA KOMBE LA ULEGA CUP MKURANGA MKOANI PWANI
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye akiwasalimia wachezaji wa timu ya mpira ya Kisiju wakati wa fainali za Kombe la Ulega zilizofanyika 05/03/2017 Wilayani Mkuranga Mkoani...
View ArticleWavuvi wa Kijiji cha Nungwi Walalamikia Uvuvi Haramu Katika Bahari
Mwananchi Mvuvi wa Kijiji cha Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja akizungumza na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali kuhusiana na uvuvi haramu unaofanywa na baadhi ya makampuni katika ukanda wao wa...
View ArticleAfrica’s Richest Man, Dangote, happy with Magufuli’s leadership style.
By Staff Reporter-Tanzania Information Services- MAELEZOAfrican’s wealthiest person, Alhaj Aliko Dangote said, on Sunday, that he was content with the leadership style of President Dr. John Pombe...
View ArticleWAZIRI MWIGULU, WATENDAJI WAKUU WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI WAJADILI...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba (kushoto meza kuu) akizungumza na Watendaji Wakuu wa Wizara yake wakati wa Kikao cha Kujadili Utekelezaji wa Mpango na Bajeti wa Mwaka 2016/2017 na...
View Article