MICHUZI TV: ZIFAHAMU FAIDA ZA UFUGAJI WA SUNGURA
The Rabbit Bliss ni Kampuni inayojihusisha na ufugaji wa Sungura na kutoa Mafunzo ya namna ya kufuga Sungura hapa nchini, wanapatikana Majohe mbele ya Gongo la Mboto, Jijini Dar es salaam. kwa maelezo...
View ArticleRAIS DK. SHEIN AWASILI NCHINI INDONESIA
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akiwa na Mhe, Airlangga Hartarto miongoni mwa Viongozi wakuu Nchini Indonesia pamoja na Viongozi wa wengine wa Nchi...
View ArticleMAKAMBA ATOA TAARIFA YA OPERESHENI MAALUM YA UTEKELEZAJI WA KUSITISHA,...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba (katikati) akizungumza na Waandishi wa habari juu ya Matokeo ya utekelezaji wa maelekezo ya Serikali ya kusitisha...
View ArticleNEWZ ALERT:MABASI YA ABOOD NA HAPPY NATION YAPATA AJALI NA KUJERUHI 12 MLIMA...
Globu ya Jamii inatoa taarifa kwa Wenye ndugu waliosafiri kwenye Basi la Abood na Happy Nation kutoka Mbeya kwenda jijini Dar es salaam,yamepata ajali mlima Kitonga hivi punde,ambapo taarifa kutoka kwa...
View ArticleKOKA-AWATAKA VIJANA KUJITUMA NA KUJIUNGA VIKUNDI ILI KUJIINUA KIMAENDELEO
Na Mwamvua Mwinyi,KibahaMBUNGE wa jimbo la Mji wa Kibaha,mkoani Pwani,Silvestry Koka,awataka vijana kuacha kujibweteka na kuwa tegemezi,badala yake wajikite katika shughuli ndogondogo ili kujiinua...
View ArticleNECTA YAENDELEA KUOMBA USHIRIKIANO WA KUBAINI VYETI FEKI.
Na Eleuteri Mangi, MAELEZOBaraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) linaendelea kuwatangazia wananchi kuendelea kuwapa ushirikiano kwa kutoa taarifa mbalimbli ikiwemo taarifa kuhusu watumishi walioghushi...
View ArticleViroba vilivyokutwa na operesheni viwekwe kuzuizini-Makamba
Na chalila Kibuda,Globu ya jamii Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Muungano na Mazingira, January Makamba amesema shehena za viroba vilivyopatikana katika viwanda,Maghala, Maduka ya Usambazaji...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI ATEMBELEA KIWANDA CHA SARUJI CHA DANGOTE,AWEKA JIWE LA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mmiliki wa Kiwanda cha Saruji cha Dangote Alhaji Aliko Dangote wakikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa Magari makubwa ya...
View ArticleMAKONDA ASHIRIKI IBADA KATIKA KANISA LA KKKT KIMARA LEO JIJINI DAR ES SALAAM.
Na Chalila Kibuda, Globu ya Jamii Viongozi wa dini pamoja na waumini wa Dini ya Kiristo jijini Dar es Salaam wametakiwa kushirikiana na Serikali ya awamu ya tano katika kuwaukoa vijana katika vita...
View ArticleRAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AWASILI NCHINI INDONESIA
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein akiwa na Mhe, Airlangga Hartarto miongoni mwa Viongozi wakuu Nchini Indonesia pamoja na Viongozi wa wengine wa Nchi hiyo pia...
View ArticlePombe za Viroba Zenye Thamani ya Shilingi Bilioni 10.8 Zimekamatwa Jijini Dar...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira January Makamba (katikati) akisisitiza jambo kwa Waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati akitoa taarifa ya operesheni maalum ya...
View ArticleSIMU TV: HABARI KUTOKA TELEVISHENI
SIMU.TV; Bodi ya shirika la reli nchini TRL yawataka wafanyakazi wa shirika hilo kubadilika katika utendaji wao ili shirika hilo liweze kuwa na tija.https://youtu.be/_x0yl252YD4 SIMU.TV; Shirikisho la...
View ArticleAFISA MAENDELEO JIJI LA TANGA AFUNGUA KONGAMANO LA WANAWAKE LA JIJIN HILO...
Afisa Maendeleo ya Jamii wa Jiji la Tanga,Mwatumu Dossi akifungua kongamano la Wanawake Jijini Tanga ambalo lilikuwa na lengo kuu la kujadili masuala mbalimbali ya kiuchumi kwa wanawake ikiwemo fursa...
View ArticleRAIS DKT MAGUFULI AREJEA DAR ES SALAAM KUTOKA KATIKA ZIARA YA MIKOA YA LINDI...
Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Kuzuia na Kupambana na Madawa ya kulevya nchini Bw. Rogers Sianga, mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa...
View ArticleMTIGWA SUGAR YAIVUTA SHATI YANGA KWA SULUHU YA 0-0 MJINI MOROGORO LEO
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara Yanga wameshindwa kuipiku Simba kileleni baada ya kutoka suluhu ya bila kufungana na timu ya soka ya Mtibwa Sugar ya Manungu Turiani kwenye mchezo wa ligi...
View ArticleUZINDUZI WA FILAMU YA RAY YA GATE KEEPER WAFANA
Msanii na mtayarishaji wa Filamu ya Gate Keeper, Vicent Kigosi 'Ray' akizungumza na Waandishi wa habari kabla ya kuanza kwa uzinduzi wa filamu yake ya GateKeeper katika ukumbi wa Cinema wa Quality...
View ArticleWATAALAM NISHATI JADIDIFU WAFANYA ZIARA KWENYE MIRADI YA UMEME NYANDA ZA JUU...
Wataalam wa Nishati, Wizara ya Nishati na Madini kuanzia leo tarehe 05 Machi, 2017 wako katika mikoa ya Nyanda za Juu Kusini kwa ajili ya ukaguzi wa miradi ya umeme pamoja na kukutana na wadau wa...
View Article