Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein akiwa na Mhe, Airlangga Hartarto miongoni mwa Viongozi wakuu Nchini Indonesia pamoja na Viongozi wa wengine wa Nchi hiyo pia akiwepo na Waziri wa Kilimo, Maliasili,Mifugo na Uvuvi Mhe,Hamad Rashid Mohamed walipowasili katika uwanja wa Ndege wa Nchi Indonesia leo. Rais Shein anamuwakilisha Rais John Pombe Magufuli katika Mkutano wa Jumuiya ya Nchi zinazopakana na Bahari ya Hindi (IORA) nchini humo. Picha na IKULU
↧