SIMU.TV; Bodi ya shirika la reli nchini TRL yawataka wafanyakazi wa shirika hilo kubadilika katika utendaji wao ili shirika hilo liweze kuwa na tija.https://youtu.be/_x0yl252YD4
SIMU.TV; Shirikisho la mifuko ya hifadhi ya jamii nchini TSSA yakubaliana na serikali kujenga viwanda vikubwa 27 nchini ili kuunga mkono sera ya sasa ya uchumi wa viwanda. https://youtu.be/GpYK4NOOdFM
SIMU.TV; Operesheni ya kukagua uzuiaji wa utengenezaji na pombe za Viroba yafanikiwa kukamatwa kwa shehena yenye thamani ya shilingi bilioni 10 tangu ianze.https://youtu.be/TYQa6l548Pg
SIMU.TV; Mshambuliaji hatari wa kimataifa kutoka Tanzania Mbwana Samatta aendelea kutema cheche huko Ubelgiji baada ya kuifungia timu yake goli 2.https://youtu.be/RpMoIZlC0vs
SIMU.TV; Mabingwa watetezi wa ligi kuu klabu ya Yanga imebanwa koo na Klabu ya Mtibwa sugar baada ya kulazimishwa sare ya 0 kwa 0. https://youtu.be/_qCejQWunHo