The Rabbit Bliss ni Kampuni inayojihusisha na ufugaji wa Sungura na kutoa Mafunzo ya namna ya kufuga Sungura hapa nchini, wanapatikana Majohe mbele ya Gongo la Mboto, Jijini Dar es salaam.
kwa maelezo zaidi wasiliana nao kwa namba hizi +255 713 448 899