Msanii na mtayarishaji wa Filamu ya Gate Keeper, Vicent Kigosi 'Ray' akizungumza na Waandishi wa habari kabla ya kuanza kwa uzinduzi wa filamu yake ya GateKeeper katika ukumbi wa Cinema wa Quality Plaza jijini Dar es salaam. Picha zote na Humprey Shao wa Globu ya Jamii.
Mkurugenzi Mwenza wa Kampuni ya Rj Company Blandina Chagula 'Johari ' akiwa na baadhi ya Mashabiki wa Bongo Movie
Msanii wa filamu nchini Vicent Kigosi 'Ray' akiwa na Mwandishi na mtunzi wa filamu ya Gate Keeper Ally Yakuti kabla ya kuanza kuonyeshw akwa fimau hiyo katika ukumbi wa Quality Centre
Wasanii walioshiriki katika filamu ya Gatekeeper wakiwa katika picha ya pamoja ya zuria jekundu kabla ya kuingia katika ukumbi wa cinema.