WAZIRI MBARAWA AWATAKA TEMESA KUONGEZA UJUZI UTENGENEZAJI WA VIVUKO.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa ameutaka uongozi wa Wakala wa Ufundi na Umeme nchini (TEMESA) kushiriki kikamilifu shughuli za matengenezo ya vivuko ili kupata ujuzi wa...
View ArticleGAPCO yapongezwa kwa kuimarisha mbio za walemavu
Baadhi ya washiriki wa mbio za kilomita 10 kwa walemavu zinazodhaminiwa na GAPCO Tanzania, wameipongeza kampuni hiyo kwa kuwajali walemavu na kuhakikisha wanafanya vizuri katika riadha.Pongezi hizi...
View ArticleDCB YATOLEA UFAFANUZI MAKUBALIANO YAO NA MANISPAA YA KINONDONI
Na Zainab Nyamka, Globu ya JamiiBENKI ya DCB imetolea ufafanuzi makubaliano yao na manispaa ya Kinondoni kuhusiana na mikopo ya vijana na wanawake iliyokuwa ikitolewa na benki hiyo ambapo kwa sasa...
View ArticleSerikali Yaahidi kushirikiana na vyombo vya habari katika kujenga Tanzania ya...
Na: Genofeva Matemu – WHUSMSerikali imeahidi kuendelea kutengeneza mazingira rafiki kwa kushirikiana na vyombo vya habari ili kwa pamoja kuweza kuhamasisha, kuunda na kujenga nchi ya viwanda katika...
View ArticleVodacom yawapiga msasa mawakala watakaokusanya fedha za hisa
Mawakala wa kuuza hisa za Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania PLC, wamepatiwa mafunzo elekezi ya siku moja iliyokuwa na lengo la kuwaelimisha mawakala hao jinsi ya kukusanya fedha wakati wa...
View ArticleJokate aanzisha mafunzo ya ujasiriamali kwa wanafunzi wa kike
Mrembo mwenye vipaji lukuki nchini, Jokate Mwegelo ameanzisha mpango maalum wa kufundisha somo la ujasiriamali kwa wanafunzi wa kidato cha pili wa shule ya sekondari ya Majani ya Chai iliyopo...
View ArticleMaandalizi Ya TANZANIA DAY 2017 Dallas Texas
Aprili 29, 2016, Mstahiki Meya wa jiji la Dallas, jimbo la Texas aliitangaza rasmi siku hiyo kuwa SIKU YA TANZANIA.Na mwaka huu, Jumuiya ya waTanzania waishio jimboni humo kwa kushirikiana na Baraza la...
View ArticleWAZIRI MWIGULU AKUTANA NA KAIMU BALOZI WA MAREKANI KUJADILI MASUALA YA...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba akisalimia na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Bi Virginia Blaser aliyefika ofisini kwa Waziri huyo kwa lengo la kujadiliana namna wanayoweza...
View ArticleNMB yamwahidi Rais Magufuli kuendelea kutumia mfumo wa kieletroniki
Benki ya NMB imemwakikishia Rais wa Tanzania, Dkt. John Magufuli kuwa itaendelea kutumia mifumo ya kiteknolojia ili kuwawezesha wateja wa benki hiyo kutumia Zaidi mifumo ya kietroniki kuliko unaotumika...
View ArticleCUF ya Maalim Seif kuiburuza CUF ya Prof.Lipumba mahakamani
Na Karama Kenyunko, Blogu ya jamii.BODI ya Wadhamini ya Chama cha Wananchi (CUF ), imefungua kesi ya madai dhidi wanachama wake nane akiwemo Naibu Katibu Mkuu, Magdalena SakayaKesi hiyo imefunguliwa...
View ArticleMAHAKAMA YA KISUTU KUFANYA UTAFITI WA KINA KABLA YA KUTOA MAAMUZI DHIDI YA...
Na Karama Kenyunko, Blogu ya jamii.Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imesema inahitaji kufanya utafiti wa kina kabla ya kutoa maamuzi dhidi ya kesi mpya inayomkabili mke wa marehemu bilionea Erasto...
View ArticleMANISPAA YA UBUNGO YABAINISHA MPANGO WA KUKUZA UCHUMI NA KUPUNGUZA UMASIKINI...
Na Mathias Canal, Dar es salaamHalmashauri ya Manispaa ya Ubungo imebainisha namna ya kuboresha maisha ya wakazi wake kwa kuweka mpango mzuri wa muda wa kati wa mwaka 2017/2018 – 2019/2020 ambao...
View ArticleWAKULIMA WA VIAZI MVIRINGO MKOANI NJOMBE WAIOMBA SERIKALI KUWASIDIA KUPANDA SOKO
Mkoa wa njombe ni kati ya mikoa inayolima viazi mviringo kwa wingi hapa nchini Tanzania na ni mkoa unaosifika kwa kilimo cha viazi hivyo, Wakazi wa mkoa huo wanategemea zao hilo kwa kuwaongezea kipato.
View ArticleMASAUNI ATEMBELEA KIWANJA CHA NDEGE CHA KIMATAIFA ABEID AMANI KARUME, AAGIZA...
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza na Maafisa wa Idara ya Uhamiaji Zanzibar, wakati wa ziara ya kukagua udhibiti wa uingiaji wa Dawa za Kulevya Visiwani humo,...
View ArticleWIZARA YA ARDHI YABORESHA OFISI ZA KANDA
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeboresha ofisi zake za kanda za ardhi zilizopo nchini ili kuongeza ufanisi katika kutoa huduma za ardhi karibu zaidi na wananchi.Wizara imegawa magari...
View ArticleMKUTANO WA JUMUIYA YA NCHI ZINAZOPAKANA NA BAHARI YA HINDI (IORA) NCHINI...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitia saini makubaliano yaliyofikiwa katika mkutano wa kwanza wa Nchi zinazopakana na Bahari ya Hindi (INDIAN...
View ArticleYANGA YAIFUNDISHA SOKA KILUVYA UNITED, YAIPIGA 6-1
Mshambuliaji wa Yanga, Obrey Chirwa akishangilia baada ya kuifungia timu yake bao la 5. Saimon Msuva akiwania mpira na beki wa Kiluvya United, Aloyce Nkya. Beki wa Kiluvya United, Aloyce Nkya...
View ArticleIN LOVING MEMORY: FIVE (5) YEARS TODAY - A REASON TO THANK GOD ALMIGHTY
JUDICA STEPHANO TERI22.06.1946 to 08.03.2012IT IS FIVE (5) YEARS TODAY SINCE YOU WERE PROMOTED TO GLORYYour beloved wife, Janeth and children Joan, Linda, Davis and Hillary together with their...
View ArticleKaya 1600 Njombe kupata umeme mwakani
Na Greyson Mwase, NjombeKaya 1600 katika vijiji kumi mkoani Njombe zinatarajiwa kupata umeme wa uhakika mara baada ya kukamilika kwa mradi wa uzalishaji wa umeme kwa kutumia maporomoko ya maji wa...
View ArticleOperesheni ya Viroba Yaibua Wafanyabiashara Wasiokuwa na Vibali vya TFDA.
Na: Lilian Lundo – MAELEZO.Operesheni ya kuondoa pombe kali zilizofungwa katika vifungashio vya plastiki (viroba) inayoendelea nchi nzima imeibua wafanyabiashara wanaofanya biashara ya pombe bila kuwa...
View Article