$ 0 0 Mkoa wa njombe ni kati ya mikoa inayolima viazi mviringo kwa wingi hapa nchini Tanzania na ni mkoa unaosifika kwa kilimo cha viazi hivyo, Wakazi wa mkoa huo wanategemea zao hilo kwa kuwaongezea kipato.