Mshambuliaji wa Yanga, Obrey Chirwa akishangilia baada ya kuifungia timu yake bao la 5.
Saimon Msuva akiwania mpira na beki wa Kiluvya United, Aloyce Nkya.
Beki wa Kiluvya United, Aloyce Nkya (kushoto), akimtoka, Hassan Ramadhani.
Beki wa Kiluvya United, Aloyce Nkya akimiliki huku akizongwa na mshmabuliaji wa Yanga, Obrey Chirwa.
Mshambuliaji wa Yanga, Juma Mahadhi akipata huduma ya kwanza baada ya kuumia katika mchezo wa Kombe la Shirikisho.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI.