Ziara ya Rais wa Zanzibar Wilaya ya WETE, Pemba
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk .Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Viongozi mbali mbali alipowasili katika uwanja wa Ndege wa Karume Pemba,akiwa katika ziara ya kikazi katika...
View ArticleBasi la wanafunzi chupu chupu lilete janga leo jijini Dar kwa kufeli breki
Basi la Kubeba wanafunzi la Shule ya Sekondari ya St. Anthony ya Mbagala jijini Dar es Salaam lenye nambari za usajili T 631 AZY (pichani kulia) leo majira ya saa kumi jioni,limenusurika kupiga...
View Articleshule ya sekondari Tusiime yasaida watoto msimbazi centre
Sista wa kituo cha msimbazi center katika picha ya pamoja na baadhi ya wanafunzi kutoka shule ya sekondari Tusiime iliyopo Tabata jijini Dar es salaam waliofika kituoni kwa ajili ya kuwatembelea...
View ArticleSusan G. Komen Global Race for the Cure 2013
Hello Everyone,First, I want to thank everyone for participating in last years Global Race for the Cure. Last year we had about 30 registered team members and we raised $1500 in donations. This year...
View ArticleNDUGU KINANA WAKIWA NANCHONG, CHINA
KATIBU Mkuu wa CCM, Ndugu Abdulrahman Kinana akipata maelezo kuhusu shughuli za kilimo alipotembelea mji wa Dantong, Nanchong kwenye miradi ya kilimo kwa ajili ya kupambana na umasikini, Machi 16,...
View ArticleYanga yazidi kujikita kileleni
Yanga vs Ruvu Shootings katika Uwanja wa Taifa, Dar leoTimu ya Yanga leo imeifunga timu ya Ruvu Shooting goli 1-0 katika mchezo wa Ligi Kuu ya VodaCom uliochezwa katika uwanja wa taifa jijini Dar es...
View ArticleTAARIFA YA KAIMU MKUU WA MKOA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU MAADHIMISHO YA...
Napenda kuwafahamisha kuwa Mkoa wetu umepewa heshima na Wizara ya Maji kuwa Mwenyeji wa maadhimisho ya 25 ya Wiki ya Maji Kitaifa yatakayo anza tarehe 16 Machi, 2013 na kufika kilele tarehe 22 Machi,...
View Articlengoma azipendazo ankal
Ngoma ya 'Love Come Down' ya Evelyn Champagne King ilikuwa moto!
View ArticleTwanga Pepeta kusindikiza utambulisho Miss Tabata 2013 Pasaka
Warembo watakaoshiriki kwenye kinyang’anyiro cha kumtafuta Miss Tabata 2013, watatambulishwa siku ya sikukuu Pasaka katika ukumbi wa Dar Wes Park, Tabata. Mratibu wa shindano hilo Godfrey Kalinga...
View ArticleSerikali kuendelea kuimarisha mazingira ya uwekezaji nchini
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu,Uwezeshaji na Uwekezaji Dkt Mary Nagu (wa pili kushoto) akikabidhi cheti cha utambuzi cha kiwanda cha simenti cha Tanzania (TPCC) kwa Waziri wa Mambo ya Nje wa...
View ArticleTPSF yahamasisha umoja sekta binafsi
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF), Bw. Geofey Simbeye akisisitiza jambo kwa wanachama wa taasisi hiyo wa kanda ya ziwa katika mkutano maalumu wa uelimishaji na...
View Articlewilaya ya hai yaweka mikakati kupambana na ugonjwa mpya wa mahindi ulioibuka
Mtaalamu mtafiti wa kilimo Dk Peter Matowo akionyesha mmoja ya mmea wa mahindi uliothiriwa na ugonjwa mpya wa mahindi katika wilaya ya Hai mkoa wa KilimanjaroMtaalamu wa kilimo kutoka wizara ya kilimo...
View ArticleMAADHIMISHO YA SIKU YA KIMATAIFA YA MITI KUFANYIKA TANZANIA - TAREHE 21 MACHI...
Tanzania itakuwa mwenyeji wa Siku ya Kimataifa ya Miti (World Wood Day) ambayo huadhimishwa tarehe 21 Machi kila mwaka. Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe Khamis Suedi Kagasheki atakuwa Mgeni Rasmi...
View Articleintroducing rasello
Hi,I wanted to take this chance to introduce Rasello as a system that is changing how Businesses and Organizations automatically manage and retain their clients better. Being a cloud based software,...
View ArticleMalindi yainyuka timu ya Mundu Bao 2-1 Zanzibar
Timu ya Malindi ya Zanzibar huku ikiwa pungufu kutokana na mchezaji wa ke mmoja kulimwa kadi nyekundu mapema dakika za mwanzo wa mchezo, jana iliibuka mshindi kwa kuinyuka Mundu mabao 2-1 ligi kuu ya...
View ArticleIGP MWEMA KUFUNGUA MKUTANO WA MAKACHERO WA POLISI JIJINI DAR
Na Frank Geofray wa Jeshi la Polisi.Wakurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI’s) kutoka Umoja wa Wakuu wa Polisi Kusini mwa Afrika (SARPCCO) kesho jumatatu wanatarajia kuanza mkutano wa siku...
View ArticleRAI YA JUMAPILI TOKA KWA BARAKA WA CHIBIRITI
Chakula kizuri kuliko vyote duniani ni: UPENDO.Sahani yake nzuri kuliko zote ni: UAMINIFU.Mchuzi wake nzuri ni; HESHIMA.Kachumbari yake nzuri ni; AMANI.Utamu wake ni; KUKUMBUKANA.- Nami nawakumbuka...
View Article