Rage na kamati yake ya utendaji wang'olewa?
MKUTANO mkuu wa dharura wa wanachama wa klabu ya Simba umemwondoa madarakani mwenyekiti wao Ismail Rage na kuivunja kamati ya utendaji ya klabu hiyo kwa madai ya kukiuka katiba ya klabu yao.Mkutano huo...
View ArticleKIKOSI CHA AZAM FC KITAKACHOUMANA NA BYC II LEO HUKO LIBERIA
Azam FC leo jioni majira ya saa 10 kamili za hapa Liberia ambayo ni sawa na saa 1 kamili usiku za Tanzania, itateremka dimbani katika kiwanja cha ATS hapa Monrovia kupambana na BYC II ya hapa. Kocha...
View ArticleKUOKOTWA LESENI YA UDEREVA
Leseni ya udereva class A,B,D yenye namba 4000966587 imeokotwa eneo la Boko, barabara ya Ununio-DSM TZMmiliki wa leseni hii anipigie kupitia 0762676661
View ArticleTAARIFA YA RIDHIWANI KIKWETE KUKANUSHA YALIYOANDIKWA DHIDI YAKE KATIKA...
Ndugu zangu habari za wikiendi. Yapo mambo machache ningependa kuwashirikisha ili kuweka kumbukumbu sawa na pia kuzuia upotoshaji ambao unaweza kujitokeza siku za usoni iwe kwangu, kwako au kwa mtu...
View ArticleElimu ya Sheria za Usalama barabarani inahitajika sana hapa nchini
kwa uendeshaji wa namna hii,ajali zitaisha kweli nchi hii??
View ArticleTwanga Pepeta kusindikiza utambulisho Miss Tabata 2013 Pasaka
Na Mwandishi WetuWarembo watakaoshiriki kwenye kinyang’anyiro cha kumtafuta Miss Tabata 2013, watatambulishwa siku ya sikukuu Pasaka katika ukumbi wa Dar Wes Park, Tabata.Mratibu wa shindano hilo...
View ArticleTamasha la Coke Zero lafana
Mwanamuziki Madee akiimba sambamba na umati wa wapenzi wa muziki wakati wa uzinduzi wa kinywaji baridi cha Coca-Cola Zero uliofanyika Coco Beach Oysterbay jijini Dar es Salaam. Mwanamuziki nyota wa...
View ArticleMh. Lowassa akutana na vijana wa Boda Boda jijini Arusha
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akizungumza na vijana waliojiajiri kwa kufanya biashara ya kuendesha pikipiki za kupakia abiria maarufu kama Boda Boda wa Jijini...
View ArticleFEEDBACK ya Mdau aliekuwa amepotelewa na leseni
Salaam Ankal,Naomba kukufahamisha kwamba ile Leseni ya udereva iliyookotwa jana maeneo ya Boko barabara ya Ununio DSM Tz,mwenyewe tayari amepatikana na amekabidhiwa.Wadau bado wanaendelea kunipigia...
View ArticleMkutano wa Baraza la Watumishi wa Ofisi ya Rais- Menejimenti ya Utumishi wa Umma
Mkurugenzi Msaidizi-Idara ya Mipango (OR MUU) Bi. Alberta Kinabo akiwasilisha mada wakati wa Mkutano wa Baraza la Watumishi wa Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma (OR MUU) uliofanyika hivi...
View Articlewakazi wa jiji la arusha wakipokea vyema kinywaji cha Tusker lite
Meneja wa bia ya Tusker Lite Bi. Anitha Msangi kielezea wadau jinsi bia ya Tusker Lite ilivyotengenezwa kwa vimelea asili na yenye wanga kidogo sana katika hafla ya uzinduzi wa bia hiyo uliofanyika...
View ArticleIGP Mwema aweka Jiwe la Msingi katika kituo kipya cha Polisi Mji mpya wa...
Mkuu wa Jeshi la Polisi IJP Said Mwema, akiweka jiwe la Msingi katika kituo cha Polisi Mji mpya wa mabwepande, Wilaya ya kinondoni Jijini Dar es salaamu. Mkuu wa Jeshi la Polisi IJP Said Mwema...
View ArticleKATIBU MKUU WA CCM NA UJUMBE WAKE WAPATA SEMINA BEIJING LEO
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (wa nne kulia) na ujumbe wa viongozi 14 wa CCM anaoongoza nao katika ziara ya mafunzo nchini China kwa mwaliko wa Chama Cha Kikomunisti cha nchi hiyo (PCP),...
View ArticleTanzania hosts a three-day Meeting on Prevention of Atrocities
Hon. Mathias Chikawe (MP), Minister for Constitution and Legal Affairs gives his opening remarks during the High Level Working Meeting on Prevention of Atrocities, particularly on genocide prevention...
View Articletwiga cement yazindua mradi wa kokoto
Waziri katika Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji na Uwezeshaji, Dk Mary Nagu (kushoto) akipokewa na Mkurugenzi Mtendaji wa Twiga Cement,Pascal Lesoinne, alipokwenda kukabidhi cheti cha uwekezaji cha...
View ArticleTAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI toka TFF Machi 18, 2013
HONGERA AZAM KWA USHINDI LIBERIAShirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) linaipongeza klabu ya Azam kwa ushindi wa mabao 2-1 ilioupata timu yake katika mechi ya raundi ya kwanza ya michuano ya Kombe...
View ArticleArticle 5
CALL FOR PAPERSThe Universities Act 2005, gives the Tanzania Commission for Universities (TCU) mandate to perform three major roles for Higher education Institutions in Tanzania which are: i)...
View Article