Waziri katika Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji na Uwezeshaji, Dk Mary Nagu (kushoto) akipokewa na Mkurugenzi Mtendaji wa Twiga Cement,Pascal Lesoinne, alipokwenda kukabidhi cheti cha uwekezaji cha mradi
wa kokoto za kujengea wa Twiga Cement kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Ujerumani, Prof. Harald Braun (hayupo pichani)kwa niaba ya kampuni hiyo kilichotolewa na Kituo cha Uwekezaji Tanzania
(TIC) katika hafla ya uzinduzi wa mradi huo jijini Dar es Salaam. Katikati ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TIC,Raymond Mbilinyi.
Waziri katika Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji na Uwezeshaji, Dk Mary Nagu akikabidhi cheti cha uwekezaji cha mradi wa kokoto za kujengea wa Twiga Cement kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Ujerumani, Prof. Harald Braun kwa niaba ya kampuni hiyo kilichotolewa na Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) katika hafla ya uzinduzi wa mradi huo jijini Dar es Salaam. Katikati ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TIC,Raymond Mbilinyi.
Baadhi ya wageni waliohudhuria uzinduzi wa mradi huo jijini Dar es Salaam.