UN TANZANIA YAZINDUA RIPOTI YA MAENDELEO DUNIANI 2013 IKIONYESHA NCHI...
Mgeni rasmi Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Peniel Lyimo akitoa hotuba ya uzinduzi wa Ripoti ya Maendeleo Duniani ya mwaka 2013 - Kuchomoza kwa Nchi za Kusini: Maendeleo ya Binadamu katika Dunia...
View ArticleKAIRUKI AZINDUA KIJITABU CHA MAMBO 101 UNAYOHITAJI KUYAFAHAMU KUHUSU POLISI...
Mheshimiwa Angellah Kairuki (MB), Naibu Waziri wa Katiba na Sheria katika picha ya pamoja na wadau mmbalimbali na wageni waalikwa baada ya kuzindua kijitabu cha “Mambo 101 Unayohitaji Kuyafahamu Kuhusu...
View Articlengoma azipendazo ankal
Kuna mdau kaleta mzigo na special request ya ngoma hii ya 'Ikati' ya Condry Ziqubu. Asante mdau kwa kututoa machozi sie wa enzi hizo
View Articlehospitali ya lindi yanusurika kuungua
Na Abdulaziz,LindiHospital ya mkoa wa Lindi(Sokoine hospital) imenusurika kuungua usiku wa kuamkia leo kutokana na kilichotajwa kuwa ni hitilafu ya umeme.Muuguzi wa Zamu ,Bi Rehema Mbinga alieleza...
View ArticleHospitali ya Wilaya ya Ruangwa yapokea Msaada wa Mashuka kutoka NHIF
Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya mkoa wa Lindi,Bi. Fortunata Raymond (kushoto) akikabidhi msaada wa mashuka kwa Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa,Bi. Agness Hokororo kwa ajili ya Hospital ya wilaya...
View ArticleWengi wajitokeza kuaga Mwili wa Marehemu Mama Susan Mgwasa jijini Dar
Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda cha Konyagi Tanzania, David Mgwassa akizungumza na baadhi ya waombolezaji waliofika kumfariji kwa kufiwa na mama yake mzazi Suzan Mgwassa, Kijitonyama, Dar es Salaam....
View Article15 - 21 MARCH 2013 - CENTURY CINEMAX - MLIMANI CITY & MWENGE BRANCH (NEW...
For more and forthcoming movies CLICK HERE
View ArticleCOSTECH YATOA MIL. 10 KUDHAMINI TUZO ZA WAANDISHI WA HABARI
AFISA UHUSIANO WA TUME YA TAIFA YA SAYANSI NA TEKNOLOJIA (COSTECH) BW THEOPHIL LAURIAN PIMA AKIMKABIDHI KATIBU MTENDAJI WA BARAZA LA HABARI TANZANIA BW KAJUBI MKAJANGA MFANO WA HUNDI YA SHILINGI...
View ArticleSAFARI LAGER NYAMA CHOMA KURINDIMA JIJINI MWANZA KESHO
SAFARI LAGER NYAMA CHOMA MWANZA FINALSSunday, 17 March 2013 – Kiwanja Cha FurahishaKwa mara nyingine tena, Safari Lager inakukaribisha kushuhudia mchuano wa mwisho kuona ni Baripi inayochoma nyama...
View ArticleUjumbe wa CCM waendelea na ziara yao nchini China
KATIBU Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (kushoto) akimpa zawadi ya kinyago cha 'Ujamaa', Katibu Mkuu wa Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC), Kamati Kuu jimbo la Sichuan, Zhang Ning, baada ya...
View ArticleMABADILIKO SEMINA ELEKEZI COPA COCA-COLA
Semina elekezi kwa ajili ya michuano ya Copa Coca-Cola 2013 iliyokuwa ifanyike Jumanne (Machi 19 mwaka huu) jijini Dar es Salaam sasa imesogezwa mbele hadi Machi 26 mwaka huu.Uamuzi wa kusogeza mbele...
View ArticleRAIS KIKWETE MGENI RASMI MAADHIMISHO YA MIAKA 25 YA HOSPITALI YA KAIRUKI, DAR...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi wengine wakikata utepe kuzindua rasmi hosteli ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Hubert Kairuki wakati wa sherehe za miaka 25 ya hospitali ya Hubert...
View ArticleNHIF YATOA MAFUNZO KWA WANACHAMA WA UVIMA KUHUSU HAKI NA WAJIBU WAO
Mratibu wa Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF),Rehani Athumani akizungumza katika semina vikundi vya akina mama wa Majohe (UVIMA) vilivyopo chini ya Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) inayosimamiwa na...
View ArticleBALOZI KAMALA AWASIHI WATANZANIA WAISHIO UHOLANZI KUWEKEZA NYUMBANI
Balozi wa Tanzania katika eneo la BENELUX, linalojumuisha nchi za ni Ubelgiji, Uholanzi na Luxemberg Dk Diodorus Kamala amekutana na baadhi ya Watanzania waishio nchini Uholanzi katika safari ya kikazi...
View Articleazim dewji atoa maoni juu ya sakata la TFF na FIFA
Azim DewjiNa Mwandishi WetuMWANAMICHEZO aliyewahi kuifadhili Simba na pia kumiliki timu ya Ligi Kuu ya soka nchini, Azim Dewji ameingilia katika suala la mgogoro wa Katiba ya Shirikisho la Soka nchini...
View ArticleMBUNGE NA MWAKILISHI WA MAGOMENI ZANZIBAR WAGAWA SARE KWA WANAFUNZI WALIO...
Mbunge wa Jimbo la Magomeni Muhamad Amour Chombo akitoa nasaha kwa wanafunzi,na pia kuwapongeza kwa kufaulu kwao kabla ya kuwazawadia sare za Skuli kwa kila mwanafunzi,huko katika Skuli ya Sekondari ya...
View Article